johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?haya ndiyo johnthebaptist anayapongeza
Nimeandika kwa gazabu tu mzeeDuuh hii acount imekuwa hacked!!??
mwenye nayo hutumiaga herufi ndogo
Mkuu wa mkoa amelizungumzia hiliInasikitisha sana.
UNAKUMBUKA LILE TUKIO LA DEREVA WA TREAPLE A ALIPIGWA SHABA NA BOSS WAKEWatendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?
Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.
Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi
Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa
Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!
Sijajua tatizo ni nini hasa!!
Hatari aiseee kwahiyo baada ya kupata taarifa ya kuumwa ndio ikabidi wamvute kwa nguvu mgonjwa??Mkuu wa mkoa amelizungumzia hili
Ana kuambia kuna taarifa wamezipata sijui dereva alikuwa anaumwa,mara aliendesha gari lina yumba...so kaunda kamati ya uchunguzi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Wanasema kulikuwa na ubishanoHatari aiseee kwahiyo baada ya kupata taarifa ya kuumwa ndio ikabidi wamvute kwa nguvu mgonjwa??
Daah, naomba nijibu kitaalam zaidi. Katika saikolojia ya binadamu kuna kitu kinaitwa ‘Compensation behavior’, hii huonyeshwa hata na mtoto wa shule ambae anashindwa kung’ara katika masomo na badala yake anaamua kung’ara kwa njia zingine, mfano kupiga kelele darasani, kuwa mkorofi darasani, kujifanya comedian nk.
Tukirudi kwa hao form 4 failure, nadhani sasa inaeleweka why wanafanya hivyo..
Wanasema kulikuwa na ubishano
Ngoja tusubirie kamati iliyoundwa
Tuone majibu yake itakuwaje
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hivi madereva wakigoma nchi nzima wagome siku 4 tu hivi hawa maskari wanajua italeta madhara gani....Hapo hamna kesi ,ishaisha hiyo!! Shamba la bwana kheri na mbuzi wa bwana kheri!!
Injinia agiza kinywaj chochote ntakuja lipiaaDaah, naomba nijibu kitaalam zaidi. Katika saikolojia ya binadamu kuna kitu kinaitwa ‘Compensation behavior’, hii huonyeshwa hata na mtoto wa shule ambae anashindwa kung’ara katika masomo na badala yake anaamua kung’ara kwa njia zingine, mfano kupiga kelele darasani, kuwa mkorofi darasani, kujifanya comedian nk.
Tukirudi kwa hao form 4 failure, nadhani sasa inaeleweka why wanafanya hivyo..
KUSANYA TAARIFA URUDI TENA MAANA HUJATAJA MBEYA ENEO GANI? DEREVA NI NANI ALIKUWA NA KOSA GANI? BAADA KIFO KUTOKEA WANANDUGU WAMEPEWA MWILI QU HAPANA AU WAMEZIKA WAPI. USIPANDE CHUKI BUREEEE.Salaam wakuu,
Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu kubwa namna hiyo kwa askari wa usalama barabarani?
Hiyo video imeonesha dereva akiwa amevuliwa suruali nusu hadi magotini.
Hii ni post ya dereva wa magari makubwa kuhusiana na hii:
"Habarini za mida wapambanaji wenzangu nimesikia mahala kua kuna dereva kapigwa na askari wa usalama barabarani huko Mbeya na amefariki alipokua sero. Je, imekaaje hii viongozi wetu? Kama ni kweli mbona tunafanywa kama nguruwe tukiwa barabarani? Mimi huea nadhani nikikutana na askari wa usalama barabarani najua nimekutana na nipo salama lakin sasa kwa staili hii tunapelekwa wapi? Makosa watubambikie na hauna pakwenda kulalamika hasa ukishapigwa cheti, kutupiga watupige ndio; na kifo?
Polisi kama kweli mmelifanya hili, hampo sahihi ndugu zetu. Kumbukeni mapolisi wengine mmesomeshwa na baba ambaye ni dereva. Pia je, wakati unasoma usikie baba yako amepigwa na police, ungejisikiaje?
Tubadilikeni maaskari; hicho ni cheo tu. Sisi na ninyi wote ni sawa. Tofauti yetu isikufanye kumuona dereva ni adui yako. Mmefundishwa kutenda haki, tendeni haki ndugu zangu. Haya, Mwenyezi Mungu awabariki. Labda mlichokitaka ndio hicho.
Pumzika kwa amani mpambanaji mwenzetu, mbele yako nyuma yetu"
Tunaomba kujua kama kuna ukweli wowote juu ya video hii.
Salaam zimwendee afande Siro!Salaam wakuu,

Hivi madereva wakigoma nchi nzima wagome siku 4 tu hivi hawa maskari wanajua italeta madhara gani....
Madereva wa mizigo ni watu wanaofanya uchumi wa nchi mambo yanaenda
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app