Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

haya ndiyo johnthebaptist anayapongeza
Watendaji wa serikali wamekuwa na roho mbaya sana sijajua kwanini?

Mfano Afisa wa Latra kule Mtwara alitaka kumchinja kwa jambia dereva wa roli.

Mtendaji wa kijiji kule Meru kamdunda mwananchi

Mlinzi wa Suma Jkt hospitali ya mkoa Shinyanga kampiga mwananchi aliyekuwa anampelekea mama yake dawa

Mwekezaji mzawa kajinyonga Ihefu....etc.....etc!

Sijajua tatizo ni nini hasa!!
 
UNAKUMBUKA LILE TUKIO LA DEREVA WA TREAPLE A ALIPIGWA SHABA NA BOSS WAKE
MPAKA LEO KESI YAKE HAIJULIKANI ILIVYO
NA IKASEMEKANA YULE TAJIRI ALIKULA KONA....NAFIKIRI ILIKUWA ENZI ZA MKWER
NA RPC DSM SIJUI ALIKUWA NANI?WAKATI HUO

ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wa mkoa amelizungumzia hili
Ana kuambia kuna taarifa wamezipata sijui dereva alikuwa anaumwa,mara aliendesha gari lina yumba...so kaunda kamati ya uchunguzi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hatari aiseee kwahiyo baada ya kupata taarifa ya kuumwa ndio ikabidi wamvute kwa nguvu mgonjwa??
 
No comment, umemaliza
Daah, naomba nijibu kitaalam zaidi. Katika saikolojia ya binadamu kuna kitu kinaitwa ‘Compensation behavior’, hii huonyeshwa hata na mtoto wa shule ambae anashindwa kung’ara katika masomo na badala yake anaamua kung’ara kwa njia zingine, mfano kupiga kelele darasani, kuwa mkorofi darasani, kujifanya comedian nk.

Tukirudi kwa hao form 4 failure, nadhani sasa inaeleweka why wanafanya hivyo..
 
Mitano tena👋👋👋
Au nasema uongo ndugu zangu?
 
trafiki wanakunya mapato kwa mtutu
1611925853420.png
 
Hapo hamna kesi ,ishaisha hiyo!! Shamba la bwana kheri na mbuzi wa bwana kheri!!
Hivi madereva wakigoma nchi nzima wagome siku 4 tu hivi hawa maskari wanajua italeta madhara gani....
Madereva wa mizigo ni watu wanaofanya uchumi wa nchi mambo yanaenda

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Daah, naomba nijibu kitaalam zaidi. Katika saikolojia ya binadamu kuna kitu kinaitwa ‘Compensation behavior’, hii huonyeshwa hata na mtoto wa shule ambae anashindwa kung’ara katika masomo na badala yake anaamua kung’ara kwa njia zingine, mfano kupiga kelele darasani, kuwa mkorofi darasani, kujifanya comedian nk.

Tukirudi kwa hao form 4 failure, nadhani sasa inaeleweka why wanafanya hivyo..
Injinia agiza kinywaj chochote ntakuja lipiaa
Comment yako hii umemaliza

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Salaam wakuu,

Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu kubwa namna hiyo kwa askari wa usalama barabarani?

Hiyo video imeonesha dereva akiwa amevuliwa suruali nusu hadi magotini.

Hii ni post ya dereva wa magari makubwa kuhusiana na hii:

"Habarini za mida wapambanaji wenzangu nimesikia mahala kua kuna dereva kapigwa na askari wa usalama barabarani huko Mbeya na amefariki alipokua sero. Je, imekaaje hii viongozi wetu? Kama ni kweli mbona tunafanywa kama nguruwe tukiwa barabarani? Mimi huea nadhani nikikutana na askari wa usalama barabarani najua nimekutana na nipo salama lakin sasa kwa staili hii tunapelekwa wapi? Makosa watubambikie na hauna pakwenda kulalamika hasa ukishapigwa cheti, kutupiga watupige ndio; na kifo?

Polisi kama kweli mmelifanya hili, hampo sahihi ndugu zetu. Kumbukeni mapolisi wengine mmesomeshwa na baba ambaye ni dereva. Pia je, wakati unasoma usikie baba yako amepigwa na police, ungejisikiaje?

Tubadilikeni maaskari; hicho ni cheo tu. Sisi na ninyi wote ni sawa. Tofauti yetu isikufanye kumuona dereva ni adui yako. Mmefundishwa kutenda haki, tendeni haki ndugu zangu. Haya, Mwenyezi Mungu awabariki. Labda mlichokitaka ndio hicho.

Pumzika kwa amani mpambanaji mwenzetu, mbele yako nyuma yetu"

Tunaomba kujua kama kuna ukweli wowote juu ya video hii.

KUSANYA TAARIFA URUDI TENA MAANA HUJATAJA MBEYA ENEO GANI? DEREVA NI NANI ALIKUWA NA KOSA GANI? BAADA KIFO KUTOKEA WANANDUGU WAMEPEWA MWILI QU HAPANA AU WAMEZIKA WAPI. USIPANDE CHUKI BUREEEE.
 
Salaam wakuu,

Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu kubwa namna hiyo kwa askari wa usalama barabarani?

Hiyo video imeonesha dereva akiwa amevuliwa suruali nusu hadi magotini.

Hii ni post ya dereva wa magari makubwa kuhusiana na hii:

"Habarini za mida wapambanaji wenzangu nimesikia mahala kua kuna dereva kapigwa na askari wa usalama barabarani huko Mbeya na amefariki alipokua sero. Je, imekaaje hii viongozi wetu? Kama ni kweli mbona tunafanywa kama nguruwe tukiwa barabarani? Mimi huea nadhani nikikutana na askari wa usalama barabarani najua nimekutana na nipo salama lakin sasa kwa staili hii tunapelekwa wapi? Makosa watubambikie na hauna pakwenda kulalamika hasa ukishapigwa cheti, kutupiga watupige ndio; na kifo?

Polisi kama kweli mmelifanya hili, hampo sahihi ndugu zetu. Kumbukeni mapolisi wengine mmesomeshwa na baba ambaye ni dereva. Pia je, wakati unasoma usikie baba yako amepigwa na police, ungejisikiaje?

Tubadilikeni maaskari; hicho ni cheo tu. Sisi na ninyi wote ni sawa. Tofauti yetu isikufanye kumuona dereva ni adui yako. Mmefundishwa kutenda haki, tendeni haki ndugu zangu. Haya, Mwenyezi Mungu awabariki. Labda mlichokitaka ndio hicho.

Pumzika kwa amani mpambanaji mwenzetu, mbele yako nyuma yetu"

Tunaomba kujua kama kuna ukweli wowote juu ya video hii.

Salaam zimwendee afande Siro!
 
Hivi madereva wakigoma nchi nzima wagome siku 4 tu hivi hawa maskari wanajua italeta madhara gani....
Madereva wa mizigo ni watu wanaofanya uchumi wa nchi mambo yanaenda

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app

Wakigoma Balaa litakuwa sio la nchi hii....Tatizo watu walioajiriwa serikali wanajiona wao ndio alpha na omega wanasahau mishahara yao inatokana na sector binafsi.
 
Ni vema raia tukajifunza utii wa sheria bila shurti. Pia kwa baadhi ya askari kutumia nguvu kuzidi kiasi sio sahihi.
 
Nimemsikia mkuu wa mkoa akiongea kuhusu hili. Machache niliosikia
-Dereva asili ya kisomali mkazi wa Dar
-Alikuwa anaumwa,alilazwa
-Alilazimisha kutoka
-Akaenda kuchukua Lori
-Alikuwa anaendesha anayumba akasababisha ajali
Kwa mbali naona itasemekana(isomeke itakuwa) dereva alikuwa mgonjwa
#ImeishaHio
 
Back
Top Bottom