Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

Hiyo kamati Ina madereva wangapi? Wamiliki wamagari je? Nadhani polisi ndo watakua wamejaa ndani ya kamati.kesi ya fisi kapelekewa fisi aitatue
Ina wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa!
 
Wewe jamaa noma sana Yaani uliitunza barua hiyo?!!?. Hongera Sana Mkuu hii ni bonge la Uzalendo.
 
Mafua yanguu[emoji134]
 
Ao wameua live tu safi kwa mchukua video yani wamemfanya kama gunia la pumba kumtupa chini inabid wawajibike kwa mauaji, tofauti na hapo wawe makini wataletewa gari zima zima
 
Wanasiasa hudhani ukijiudhuru ndo mwisho wako wa Kisiasa.....

Wajifunze Kwa Mzee Mwinyi ambaye Baadaye akaja kuwa Rais wa Nchi hii.
 
Comedy za ccm zimeanza,[emoji870]tena
 
Kitu hamjui vituo vingi vya polisi tanzania vimejaa watu makatili sana, huko vituoni kwao wamejaza marungu na zana mbali mbali za kuwapigia watu pindi upofikishwa huko vituoni kwao, mfano huyu dereva kitendo cha kubishana nao walipofika sero huku atakuwa alipigwa sana maskini wa Mungu mpaka akakata moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…