johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio maana kukawepo " kujiuzulu "๐๐๐, Ko kila failure solutions n kujiuzulu?, Wacha tusubir majibu ya hyo kamat wahusika wawajibishwe , small minded hata hili watamuhusisha Rais ๐๐