Kuna Video vixen ni watamu balaa, wananiumiza roho mwenzenu


YANGA BINGWA

#YNWA
Oa bloangu utakufa
 

LA KWANZA.
1. utaishia kuwatamani tuu nakupiga nyeto mjinga wewe
2. unajua wee broo nikichaa ee.

a. Ushauri wangu "Unapoleta hoja kwa mtu STOP PERSONAL ATTACK.
Sasa uliposema haya maneno, nani kadhihirisha yupo kama alivyo kutoka na comment zako?
Kama unahisi ukubaliani nae basi "Just agree to disagree"
Mambo ya mjinga, mpumbavu and so forth achana nayo.

b. Nani ka kwambia Mimi napiga nyeto na sitomb(i)....??

LA PILI.
1. unamiaka 33 nabado hujajipata halafu unasema nikiwekeza nitawala mademu kwahio unataka kuwekeza ukiwa mzee au?
2. kuwekeza ujanani umeshindwa utaweza uzeeni?
3. nikaacha nikaanza kufikiria kuwekeza nanikafanikiwa Sasa wewe nauzee wako huo bado hujawekeza nabado unamawazo yakitoto namna hio?

Nani ka kwambia Mimi sijawekeza au kwani UNANIJUA?

Unataka nikwambie navyomiliki ili iweje?
Nikijua mali zako au wewe ukijua Mali zangu ITASAIDIA NINI?

Unasema "Sijajipata" halafu HUNIJUI.

Una "m-jaji" mtu vipi financial status yake halafu hamjui?

Nimeweka au sijawekeza JE UNAUJUA UKWELI WA MAISHA YANGU?

Na kama nimewekeza au sijawekeza WEWE INAKUSAIDIA NINI?

Just chill bro and ENJOY LIFE
It's an internet anyway.

#YANGA BINGWA.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…