Kuna Video vixen ni watamu balaa, wananiumiza roho mwenzenu

Kuna Video vixen ni watamu balaa, wananiumiza roho mwenzenu

INTRODUCTION
Hamjambo bandugu...

Leo nimejiuliza "Nikishapata sanaa hela NINI KINAFATA?"

Nikajijibu "Ni stareheeee"

Sasa nikiwaza, hivi Hawa Video Vixen watoto warembo wanapatikana wapi?

BODY:
Ngoja twende mdogomdgo MTANIELEWA TUU...

Mi bwana pamoja ya kwamba sitaki kuoa ila hawa watoto (Video Vixen) wananimaliza sanaa mwenzenu, kwani hizi hela nazitafuta za nini?

Nikishawekeza, nikishafungua mabiashara, nikisha nunua magari NINI KINAFATA?

SCENARIO:-
1. Video Vixen wa kwanza
Nyimbo ya Fid Q Ft. Isha Mashauzi, Rich Mavoko na Jahman

Mule kwenye hii video Kuna Video Vixen mmoja nadhani ndio "main Chick", kwenye ile video huwa anatokea kavaa Nguo za orange, sweta jeusi na kajifunga kikoi chini, mara analamba pipi mara ameshika kopo la corn.
1. Huyu mtoto ni black beauty
2. Simple figure
3. Ngozi soft balaa
4. Ana Anglia yake mamaeee ni nomaaa
5. Huyu mama angu hanaga makuu kwenye video.

2. Video Vixen wa pili
Nyimbo ya Navy kenzo Ft Diamond - Katika

Pale kwenye verse ya Mond Kuna mtoto anatokea kwenye mashuka yaliyoanikwa halafu anakiuno balaa (miuno feni)
Lakini pia sometimes utamuona juu ya jengo anakatika.
Kwenye video kavaa blauzi nyekundu na taiti nyeusi

1. Mtoto miuno feni
2. Mtoto mweupe
3. Mtoto ana msamba fulani amaizing
4. Mtoto Kuna scene anakatikia kontena "My God she is amaizinggggg"

3. Video Vixen 3
Shetta Ft. Jux & Mr. Blue - Hatufanani nao.

Kuna mtoto humu ndani ya hili deo, amevaa nguo nyeupee halafu nywele kabana kwa juu.

Kwenye chorus ya Jux utamuona anatokea na tembea yake huku anavua miwani nusu.
Nyie huyu mtoto...
1. Nampa Shikamooo mamaaaa
2. Mtoto akitembea kiuno kinakatika chenyewe
3. Mtoto mweupeee ile kiutamu
4. Mtoto sijui kazaliwa Maka, maana mmmmh ana moto wake fulani hivi unawakaaaaa

4. Video Vixen wa 4
Shetta Ft. Mario - Bozeman
Wakati video inaanza Kuna video Vixen anatokea anatembea, nyie huyu mtoto ana shinduuuuuuuuuuuu hatariiiii.

5. Hapo sijaongelea ma ngongingo na mawowowo ya Baba levo Ft. Ray Vanny..!!!

Naomba niishie hapo.

Hawa watoto hawaaaa, dah basi tuuuu.

Tuendelee kutafuta hela
""If you think money does not buy happiness go and ask the homeless and the jobless""

Money buys anything and everything in this world.

YANGA BINGWA

#YNWA
Oa bloangu utakufa
 
unajua wee broo nikichaa ee.

unamiaka 33 nabado hujajipata halafu unasema nikiwekeza nitawala mademu kwahio unataka kuwekeza ukiwa mzee au? kuwekeza ujanani umeshindwa utaweza uzeeni?

hayomambo ya kutamani mademu wakwenye video tumeyafanya tukiwa na miaka 18 enzi hizo tunawatamani kina wemasepetu na elizabet maiko lulu.sasahivi kikowapi?Mimi nimegundua niutoto nabareghe vilikuwa vikinisumbua

nimetomba sana nikiwa na miaka 20-24 nikaacha nikaanza kufikiria kuwekeza nanikafanikiwa Sasa wewe nauzee wako huo bado hujawekeza nabado unamawazo yakitoto namna hio?

utaishia kuwatamani tuu nakupiga nyeto mjinga wewe

LA KWANZA.
1. utaishia kuwatamani tuu nakupiga nyeto mjinga wewe
2. unajua wee broo nikichaa ee.

a. Ushauri wangu "Unapoleta hoja kwa mtu STOP PERSONAL ATTACK.
Sasa uliposema haya maneno, nani kadhihirisha yupo kama alivyo kutoka na comment zako?
Kama unahisi ukubaliani nae basi "Just agree to disagree"
Mambo ya mjinga, mpumbavu and so forth achana nayo.

b. Nani ka kwambia Mimi napiga nyeto na sitomb(i)....??

LA PILI.
1. unamiaka 33 nabado hujajipata halafu unasema nikiwekeza nitawala mademu kwahio unataka kuwekeza ukiwa mzee au?
2. kuwekeza ujanani umeshindwa utaweza uzeeni?
3. nikaacha nikaanza kufikiria kuwekeza nanikafanikiwa Sasa wewe nauzee wako huo bado hujawekeza nabado unamawazo yakitoto namna hio?

Nani ka kwambia Mimi sijawekeza au kwani UNANIJUA?

Unataka nikwambie navyomiliki ili iweje?
Nikijua mali zako au wewe ukijua Mali zangu ITASAIDIA NINI?

Unasema "Sijajipata" halafu HUNIJUI.

Una "m-jaji" mtu vipi financial status yake halafu hamjui?

Nimeweka au sijawekeza JE UNAUJUA UKWELI WA MAISHA YANGU?

Na kama nimewekeza au sijawekeza WEWE INAKUSAIDIA NINI?

Just chill bro and ENJOY LIFE
It's an internet anyway.

#YANGA BINGWA.

#YNWA
 
Back
Top Bottom