Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Mar 11, 2023 #21 Hapo sasa uwaambie mada za kula mbususu na kuhonga uone response yao
Joan lewis JF-Expert Member Joined Jan 3, 2019 Posts 993 Reaction score 1,463 Mar 11, 2023 #22 Tui said: Preach what you do.Wewe umeajiriwa unakuwa hauna credibility ya kuwashauri wajiajiri. Click to expand... Na mm nashangaa. Kama wao wajinga wewe ni mbumbumbu x 4
Tui said: Preach what you do.Wewe umeajiriwa unakuwa hauna credibility ya kuwashauri wajiajiri. Click to expand... Na mm nashangaa. Kama wao wajinga wewe ni mbumbumbu x 4
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 11, 2023 #23 Lumbi9 said: Hapo sasa uwaambie mada za kula mbususu na kuhonga uone response yao Click to expand... Haya ni mahsusi kwa wale vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili. Hao wapo wengi zaidi humu JF.
Lumbi9 said: Hapo sasa uwaambie mada za kula mbususu na kuhonga uone response yao Click to expand... Haya ni mahsusi kwa wale vijana wa hovyo wasiokuwa na mchango wowote kwa taifa hili. Hao wapo wengi zaidi humu JF.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 14,516 Reaction score 50,658 Mar 11, 2023 #24 Inawezekana una wazo zuri ila wameona huna nia njema labda umewaonyesha tabia za kuwaona wanakukombea mboga hapo kazini ndo maana wameruka mtego
Inawezekana una wazo zuri ila wameona huna nia njema labda umewaonyesha tabia za kuwaona wanakukombea mboga hapo kazini ndo maana wameruka mtego
Mr simple M JF-Expert Member Joined Sep 18, 2020 Posts 2,202 Reaction score 4,653 Mar 11, 2023 #25 Lucha said: Inawezekana una wazo zuri ila wameona huna nia njema labda umewaonyesha tabia za kuwaona wanakukombea mboga hapo kazini ndo maana wameruka mtego Click to expand... Ebu lete mchanganuo wa hiyo idea kwanza
Lucha said: Inawezekana una wazo zuri ila wameona huna nia njema labda umewaonyesha tabia za kuwaona wanakukombea mboga hapo kazini ndo maana wameruka mtego Click to expand... Ebu lete mchanganuo wa hiyo idea kwanza