Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

Hi,

Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe.

Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta ya 150k kwa wiki, kwenye Subaru Forester yake, ila mke hana, hata wakija wadada wa field tokaa chuo kwenye kampuni, wanaume single bachelors hawajisumbui kuwatongoza, hawatongozi hata female coworkers, utakuta tena kijana anakwambia ana rafiki yake anafanya kazi tra, kipindi cha chuo huyo rafiki alitamani kuoa, baada ya kupata hela, mtu anaghairi kuoa, coz anadai hana mpango huo wa kuja kuoa.

All those guys naowasema ni seemingly decent and good guys, sijajua wana mapungufu gani, hela wanazo, wako smart, hawana sura mbaya wako in their late 20's ila mbona hawataki kuoa na hawana wake, hata kutongoza hawajisumbui..

Ni aina ya wanaume ambao wanawake wanaenda kuombewa kwa mwamposa ili wawapate.

Sijajua future ya ndoa itakuaje kwakweli, siamini kama hao wanaume hawataki mke, hakuna mwanaume mwenye hela asietaka a good wife by his side. DeepPond Zemanda mshamba_hachekwi dronedrake Extrovert mawazo yenu kwenye hili tafadhali
Frankly speaking niko na 30+ na mke sina. I have a girlfriend na ananipenda mbaya. Only that we are not married makes her sad.
 
Wee
S

Suala sio kupenda hapa.
Hebu nenda chumbani kavue nguo zako zote halafu Anza kuangalia kazi za viungo VYAKO vya mwili.
MB.o.o na ku.ma Zina kazi yake usimfanye Mungu mjinga.
Wee esita wewe ....esita ,esita nakuitaj mara tatu ,
Umeolewa
 
Kuoa ni project ambayo sina bahati nayo... Kila siku huwa najiuliza kwa nini sijaoa but sijawahi kupata jibu... Hii kitu sijui imekaaje,.....

Mfano mzuri ni kama unakuta wewe may be ni mkristo ungependa uokoke umwabudu mungu full time lakini unakuta huokoki na sababu hujui zinazokukwamisha.. Huo ni mfano wangu kwenye kuoa unakuta napenda nione but hiyo project haitimii na cjui sababu nini.
Mkuu late 20's sisi bado wadogo
🤓🤓
 
Ukiwa vizuri hata wanawake waliopinda waakaa mkao wa kuolewolewa n wewe.
Akijua unapenda dini atajifanya mlokole.
Akijua unapenda miziki anajifanya msanii.
Akijua unapenda simba, atanunua na jezi inadvance ili akae kisimbasimba.
Mkuu una hoja ila fanya kuedit hii post yako
 
Kuna mudhungu mmoja aliwahi kusema kwamba.

Everyone on this world run on their time zone. Sijui alimaanisha nini
 
Kujilaumu tu ,kunadhihirisha huyo mungu anaefanya watu anaowapenda wajilaumu ana akili za mdoli.
JIEPUSHE NA ULIMI WAKO KUMDHARAU,KUMKASHIFU NA KUMTUKANA MUNGU.
MI NAMUOGOPA SANA MUNGU.
NAOGOPA NA KAULI ZAKO UNAZOZITOA KUHUSU MUNGU.
 
JIEPUSHE NA ULIMI WAKO KUMDHARAU,KUMKASHIFU NA KUMTUKANA MUNGU.
MI NAMUOGOPA SANA MUNGU.
NAOGOPA NA KAULI ZAKO UNAZOZITOA KUHUSU MUNGU.
Mungu hayupo, angekuwepo usingemwogopa yeye wala kauli za watu usingeziogopa, hata huo msamiati wa OGOPA usingewezekana kuwepo. Unachoogopa wewe ni imagination na hisia zako ambazo zinakutengenezea illusion.Haiwezekani awepo mungu anaetupenda na mwenye uwezo wote afu tuwe tunaingiwa na uoga.
 
Shida mtu wa kumuoa ambaye anamaadili, hatakupenda kwa sababu ya mali zako, hatakusumbua , anauwezo wa kulea familia , ataachana na mashoga wanaompoteza


Wanawake wengi wajuaji na wanaakili wanayoita yakisasa


Kupata mke kwa sasa ngumu

Wengi tunawaona wanaoa kwa harusi za mamilioni lakini ndoa huvunjika mda mfupi


Lazima kuwe na uoga
 
A
Mungu hayupo, angekuwepo usingemwogopa yeye wala kauli za watu usingeziogopa, hata huo msamiati wa OGOPA usingewezekana kuwepo. Unachoogopa wewe ni imagination na hisia zako ambazo zinakutengenezea illusion.Haiwezekani awepo mungu anaetupenda na mwenye uwezo wote afu tuwe tunaingiwa na uoga.
Kizazi Cha nyoka Kiko kazini
 
Back
Top Bottom