Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria

Tanzania, Uganda, Kenya tuna haki ya kulima na kutumia maji ya ziwa Victoria jinsi tutakavyo.....MIsri haiwezi kutulazimisha hata iweje. Yaani wananchi wetu walale njaa ama kufa njaa ili Misri ipate maji? Viongozi kama hawa walio ndani ya payroll ya Misri wasakwe mara moja na kung'olewa kucha bila ganzi. Watakuja wapuuzi wengine hapa kulalamika, ohhh wale waarab ndugu zetu tuwasaidie na tusitumie ziwa letu kwa ajili ya kuwasaidia wao.
 
Ndio maana mleta uzi alikuwekea mikataba
na kwa nafasi yako na usomi wako naamini kuwa unaweza kuelewa imeleza nini
 
Wewe mwenye akili umeongea nini zaidi ya utumbo tu

Inawezekana akili zako zinakuambia nilichoandika ni utumbo na kwa uwa wewe kazi yako ni kurespond utumbo ndio maana ukajibu, asante sana mjibu utumbo kwa kujibu utumbo wangu
 
Hayo uliyosema yote tunayajua, point ni kwamba kwanini sisi watanzania tusifaidike na maji ya ziwa Victoria wakati wenzetu wanafaidika na maji yatokanayo na ziwa hilo?
Kuhusu matumizi ya hayo maji nchini Misri si hatuna haja nayo
 
Hakuna mda wa kufukua makaburi, tupo busy na wanasiasa wanokwamisha maendeleo
 
Umeandika kuashiria una huruma sana na misri.

Unachoshauri ni nini hasa tuache kuendesha miradi muhimu hapa nchini hili kusudi wao waendelee kuneemeka tu au?

Nna wasi wasi wewe sio mtanzania
 
Kwani Misri iko Tanzania? au sehemu ya Tanzania? Ziwa Victoria liko Tanzania, matatizo yao sio sehemu yetu,hatuwezi kupata matatizo ili wao wanufaike.
Mkuu huyo jamaa kwa hiyo comment yake, mimi imenipa wasiwasi kama kweli ni mtanzania.
 
Ningependa kuwa mbia wana jamii hebu fanyeni utafiti.

Maji ya lake victoria ya vynazo viwili

kuna maji yanayo toka kwa ajili ya mto nile
na kuna maji ya nayo jaza ziwa victoria.

Majiya victoria haya husiani kabisa na maji ya nile

Fanyeni utafiti na matajua hayo.
Haya ya kuwa tume ambiwa tusitumie lake victoria sisahii. tusi je kuchafua chanzo cha nile au kukibadilisha njia.

Fanyeni utafiti
 
Lowasa tu ndie kiboko ya longolongo aliyatupilia mabali madai yao na kuamuru maji yatumike, now shinyanga wanafaidi maji ya ziwa victori.

Mwenye sifa yake mpeni
 
Your out of focus by half lamda,kumbe hujui unazungumzia nini?
 
Does Egypt have monopoly over Nile waters?
 
 
Au ni double agent nini?
 
Ngoja tusubiri JPM anasemaji kuhusu hili, tumpe mda au tumkumbushe juu ya hili maana naona kama halimo kwenye sera yake.
Tumwambie akafunge mita pale kwenye tundu yanapopitia, hao wa ethiopia na misri walipe kodi kulingana na units wanazotumia, itengenezwe Victoria Revenue Authority (VRA) bila shaka mkuu atakusanya matrilion ya madolari hapo. Jamaa wakizingua kulipa bili anayapiga KUFULI. Full stop
 
Kwani ziwa nyanza linategemea mvua? Hakuna siku ziwa lile litakuaka waache ujinga wao. Kwanza si wajiulize yale maji yanatoka wapi? Wanakijua chanzo chake?

Ziwa tanganyika lingeweza kushusha maji yake tabora tena hakuna garama kubwa kubwa ni kutega mabimba tu na mashine kadhaa zakusukuma maji landscape/gradient inasaidia maji yanashuka tu
 
Tukilitumia ziwa Victoria kwa kilimo cha umwagiliaji tutajiongezea uhakika wa chakula toka akiba ya sasa tani 1.5 million za sasa mpaka tani 4 million na kusahau njaa
Tunao uwezo wakuzalisha tani milioni 100 za chakula na mazao ya biashara kwa mwaka. Kwa ardhi tuliyonayo na vyanzo vya maji vilivyopo hakika tunaweza kuilisha dunia nzima. Matumizi ya ardhi kwa nchi hii hata 1/8 hatujafika. Nchi kubwa hii hadi hatari. Mipori imejazana kila kona, unaweza kutembea kwa gari 80km/hr kwa muda wa masaa 8 ni msitu na mapori tu.

Tunaouwezo wakuzalisha tani milioni 100 za mazao ya chakula na biashara. Hatujawa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…