sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Ni wizi wa mchana kweupe ndio maana Raisi Nyerere mwaka 1961 aliukataa huo mkataba shoga,hakuutambua.Je unafahamu nini kuhusu The Nile Water Agreement of 1929?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wizi wa mchana kweupe ndio maana Raisi Nyerere mwaka 1961 aliukataa huo mkataba shoga,hakuutambua.Je unafahamu nini kuhusu The Nile Water Agreement of 1929?
![]()
Kuna tuhuma kuwa baadhi ya viongozi wa awamu iliyopita na wengine wa awamu hii wako kwenye payroll ya serikali ya Egypt ili kuzima au ku sabotage kwa namna mbali mbali miradi ya kilimo cha Umwagiliaji na matumizi mengine ya maji toka ziwa victoria
Baadhi yao wako ndani ya idara mbali mbali za serikali na maslahi yao ni kwa ajili ya serikali ya Misri na sio Tanzania
Imefika mahala baadhi ya miradi imepigwa chini na watu wa idara ya mazingira kwa visingizio mbali mbali kuwa ili watanzania wasitumie maji ya aiwa victoria
Naomba wenye kujua undani wa haya madai watujuze kwa nini tumewekewa restriction kutumia maji wakati Ethiopia na Sudan wanaendelea na miradi mikubwa mikubwa ya Umwagiliaji na Mabwawa makubwa ya umeme na kadhalika huku sisi tunaambiwa kuwa maji kwenda Shinyanga na mikoa mingine haiwezekani
Mkuu:
Inawezekana mimi sifahamu chochote kuhusu huo mkataba (NWA 1929)
Swali ni kwamba hao walio ingia huo mkataba ni akina nani na kwa maslahi ya nani.
Kama wewe si mtanzania au mkazi wa eneo husika naomba usijibu lolote.
Ni wizi wa mchana kweupe ndio maana Raisi Nyerere mwaka 1961 aliukataa huo mkataba shoga,hakuutambua.
unajua kiswahili kama umezaliwa buzebazebaZiwa victoria ni chanzo kinachopeleka maji river nile, Ambapo misri ni final destination kama mpokeaji maji kutoka ziwa victoria.
Hivyo basi sisi watanzania tukiwa na project (irrigation schemes) nyingi kama hzi kiwago cha maji kitakacho kua kinapotea kila siku kitakua kikubwa, Na kupelekea kiwango cha maji kupungua nchini misri.
Tukumbuke kwamba maji hadi yafike misri yanipita sudani na uganda ambapo pia yatatumika katika miradi mbalimbali.
Egypt ni nchi inayotegemea sana kilimo(large scale agriculture) kwa kutumia njia ya umwagiliaji.
Hitimisho.
Egypt ili wafanikishe kilimo cha umwagiliaji wanategemea maji kutoka victoria kupitia mto nile.
Kiwango cha wingi au uchache wa maji mto nile unategemea sana utumiaji wetu maji sisi watanzania.

Umekariri bila kuelewa,ndio tatizo.Pole sanaShoga Sblandes alivyoukataa ndio ikawa nini? Kama alivyoshindwa katika mipaka iliyowekwa na wakubwa zetu, hakuwa na mamlaka na huo mkataba ndio maana mpaka anakufa huo mataba unafanya kazi. Tujifunze kuutambua ukweli na tuache kuukumbatia upashkuna, uongo na uzandiki kwani hivyo havitatui matatizo yanayotukabili, vinakidhi kiu ya ashki zetu za kutoa maneno ya ovyo ili tuonekane wa maana na wasiojua wenzetu
Umekariri bila kuelewa,ndio tatizo.Pole sana
Ukijifunza kuwa ukweli unabaki kuwa ukweli na haubadiliki hata ukiwa unasemwa na nani. Ukweli haubadiliki hata kama utasemwa na adui yako. Kufahamu jambo ni kuwa na taarifa sahihi za jambo hilo badala ya kutumia hisia za moyo wako au hisia za mtu unayemuamini. Mkataba upo kama unajua kusoma unaweza ukasoma kwa maarifa ya ubongo wako kama unataka kutafuta maarifa, kama unataka kukaririshwa uongo basi subiri mitambo ya kutengeneza uongo wakutengenezee mahitaji ya ubongo wako kisha u save ili nawe ukipata nafasi uanze kufanya ukasuku.
Pole sana kwa kujiliwaza yaonekana unatafuta QC lakini too late kwani maboga kama ninyi ndio mnasema Mzungu alivumbua mlima Kilimanjaro wakati magi wamekuwepo hapo kabla eti kwasababu imeandikwa na mzungu,vivyo hivyo unakalili sheria mfu eti kwa sababu tu aliandika mkoloni mwingereza.Slavely mentality na colonial hangover inakusumbua.Dalili ya walioshindwa hoja ni kutafuta sababu ya kukimbia mjadala, nao huo ni ungwana, wengine huondoka kimya kimya, wenye roho ngumu na aibu kama wewe hujaribu kujitutumua. Hoja yako ni kuwa Nyerere alikataa kuutambua, je kuukataa kwake kuutambua huo mkataba kulifanya mkataba ufe au? Jadili acha jazab na hasira, wote tunatoa mawazo katika kujenga nchi. Hoja yako ikumumunyuliwa usisuse, jipange na ufikiri tena
![]()
Kuna tuhuma kuwa baadhi ya viongozi wa awamu iliyopita na wengine wa awamu hii wako kwenye payroll ya serikali ya Egypt ili kuzima au ku sabotage kwa namna mbali mbali miradi ya kilimo cha Umwagiliaji na matumizi mengine ya maji toka ziwa victoria
Baadhi yao wako ndani ya idara mbali mbali za serikali na maslahi yao ni kwa ajili ya serikali ya Misri na sio Tanzania
Imefika mahala baadhi ya miradi imepigwa chini na watu wa idara ya mazingira kwa visingizio mbali mbali kuwa ili watanzania wasitumie maji ya aiwa victoria
Naomba wenye kujua undani wa haya madai watujuze kwa nini tumewekewa restriction kutumia maji wakati Ethiopia na Sudan wanaendelea na miradi mikubwa mikubwa ya Umwagiliaji na Mabwawa makubwa ya umeme na kadhalika huku sisi tunaambiwa kuwa maji kwenda Shinyanga na mikoa mingine haiwezekani
Pole sana kwa kujiliwaza yaonekana unatafuta QC lakini too late kwani maboga kama ninyi ndio mnasema Mzungu alivumbua mlima Kilimanjaro wakati magi wamekuwepo hapo kabla eti kwasababu imeandikwa na mzungu,vivyo hivyo unakalili sheria mfu eti kwa sababu tu aliandika mkoloni mwingereza.Slavely mentality na colonial hangover inakusumbua.
Mkuu Domokaya:
Wacha domo, jibu swali la msingi
"Hao walio ingia mkataba ni akina nani na kwa manufaa ya nani".
Hiyo fasihi yako uliyo iandika kwa sasa haina mashiko, ni vyema ungezingatia muktadha.
Nilishafanya hiyo homework ndio nikaja hapaTafuta kwanza mkataba wa matumizi ya maji ya Lake Nile na Victoria kwanza The Nile Water Agreement of 1929 ndipo uju na hizi allegations. Nakushauri uwe unafanya kwanza home work kwa kina kabla hujafanya tuhuma kwa watu kwa kujisingizia eti unauliza.
Ukitajiwa Lowassa Chup* inakuloa kwa nini?Lowasa alilikuta tu aliyewakabili wamisri kuwa lilwalo na liwe Tanzania itatumia maji ya Victoria kupeleleka maji maeneo kame ya shinyanga alikuwa Mwandosya alipotamka Hilo misri wakasema Hilo tamko ni kutangaza vita Mwandosya akiwa waziri akakomaa wamisri WAKANYWEA NDIPO LOWASA akiwa waziri akatekeleza Yale aliyokomalia mwandosya.
Nilishafanya hiyo homework ndio nikaja hapa
Mkataba huu haunt tofauti na mikataba ya kilaghai iliyosainiwa na wakoloniHaya tuambie huo mkataba bado upo au haupo?