Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kuna mambo mawili
1. Kuwa out of control
2. Kujitoa ufahamu, hii ni makusudi kabisa ili tu ule maana kwa njia zingine umeshindwa kujipatia pesa au chakula. Ni sawa na kuokota makopo jalalani. Wapowenye matatizo ya akili rasmi na wengine hujifanya wana matatizo ya akili ili wapate dili ndani ya matahira.
Video hii chini haina uhusiano na ujumbe wa juu.