OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mbona anakuwa kama Mangungo wa Msovero?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo kuweni na huruma basi,Yuko sahihi
Mangungu ndo Mwenyekiti wa Simba
Wanachama wa mbumbumbu mpo wengi.Utopolo kuweni na huruma basi,
Basi hao matajiri na mo wafate utaratibu.Simba ni fursa kubwa ya utajiri. Matajiri wanajua hilo, masikini hawajui.
Hayo ni juu Yao. Mi Yanga!Basi hao matajiri na mo wafate utaratibu.
OKW hebu fikiria Kwa kina Hali ilivyo. Wanachama Wenye 51% wanakosaje sauti dhidi ya Mtu mwenye 49%?Utopolo kuweni na huruma basi,
Mbona ulishawapa taarifa changamoto ya Simba ni vita ya nani na nani?Wabaya gani tena jamani? Simba si guvu moya?
Kuna Chura somewhere hajagundulika.Ukiona kobe juu ya mti ujue kapandishwa. Hakuna narudia tena hakuna shabiki/kiongozi wa Pan Africa akawa shabiki wa Simba kama ambavyo hakuna shabiki/kiongozi wa Red Star/Nyota Nyekunda akawa shabiki wa Yanga.
Naanza kuamini kuwa yale yaliyokuwa yanasemwa kuwa huyu jamaa na baadhi ya wajumbe wa bodi wapo kwenye "payroll" ya jamaa wa upande wa pili na wanataka kumpa timu mdogo wa jamaa wa upande wa pili.
Mwanzoni nilipuuza zile goli tano nikiamini kuwa Simba alizidiwa na Yanga kiufundi nikawapuuza wale wote waliokuwa wanasema kuwa zile goli ni za mchongo. Lakini baada ya kusikia alichozungumza Cadena kuhusiana na Manula nikiunganisha na maneno anayotamka huyu mzee nimeshapata jibu zile goli zilitengenezewa wapi na pale uwanjani watu walikuja tu kukamilisha kazi iliyopangwa kiustadi sana.
Ni wakati sasa wa wanachama kuishinikiza BMT na serekali kwa ujumla iwaamuru hao mamluki waitishe mkutano wa wanachama ili wawaondoe kidemokrasia ili wakose visingizio.
Ni mtizamo tu