Kuna wadada humu wananichanganya roho

Dogo umetumwa na maccm uje ututoe kwenye mada za maana tumestuka na kura zote ni kwa lowasa
 
sikujua kama hao wengne ni wanaume simu yangu haioneshi avatar picha. naombeni samahani niliowakosea hapo juu sijafanya makusudi, najaribu kuedit lakini inakataa
Mbona Unaji koti wewe mwenyewe? Kuwa mpole mods wasikuchoke wakakubakisha na boksa...Muulize gilesi yaliyo mkuta! mods wanakucheki tuu..
 

Ningeweza ningekuozesha huyu wa chama cha magamba ukambadili chama geto
 
Ningeweza ningekuozesha huyu wa chama cha magamba ukambadili chama geto

nani Faiza Foxy?? huyu dada tukiwa mmu huwa nampenda saana, shughuli tukienda jukwaa la uchaguzi. kweli nimeamini unaempenda akikuudhi hasira zinakuwa twice
 
Lkn age yako itawafanya wakutose coz,watashtakiwa na jamhuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…