Mkali popote
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 633
- 340
Dogo umetumwa na maccm uje ututoe kwenye mada za maana tumestuka na kura zote ni kwa lowasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Missyrose Unachokifanya sicho lakini poa tu
Aiiiiyaaaah..nilisahau.
Najua Umuhimu Umeisha ndio maana
Shemeji umeniita?
Mbona Unaji koti wewe mwenyewe? Kuwa mpole mods wasikuchoke wakakubakisha na boksa...Muulize gilesi yaliyo mkuta! mods wanakucheki tuu..sikujua kama hao wengne ni wanaume simu yangu haioneshi avatar picha. naombeni samahani niliowakosea hapo juu sijafanya makusudi, najaribu kuedit lakini inakataa
Nmekuita shemeji umuone huyu kijana jinsi alivyo tuvunjia hekima...
Au ndo ulikuwa bize kumsikiliza dr wa miogo!?
mimi ni member mpya hapa jf ni dogo wa miaka 17 tu before sijajiunga jf kuna wadada humu nikisoma post zao walikuwa wanakonga nyoyo zangu mpka nimeamua kujiunga jf wadada wenyewe ni heaven on the earth, cute b, madame b, evelyn salt, mgiriki, harufu, bujibuji, apologize lady, charty, aspirin, holygrail, asakunte same, faiza foxy, nifah, badili tabia, kiwatengu yaani kama ningekuwa na pesa ningemuoa ata mmoja sema umri hauruuhusu..
Ningeweza ningekuozesha huyu wa chama cha magamba ukambadili chama geto
Teh nilikuwa naomba aishie kumention hapo hapo ili asije akakutaja. Ana utani wa ngumi
Aah kwa kweli ninge-deal naye tu, maana ana makusudi kwa kweliHahaha. Najua unge-deal nae. Huyu atakuwa ana ugomvi na aliowataja.
Aah kwa kweli ninge-deal naye tu, maana ana makusudi kwa kweli