Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
-
- #221
Basi naomba unisamehe mkuu [emoji28], ila hadi leo yuko kwangu, yani kitakachotokea sijui tu.Yaan mtu umemjua hata week haijaisha ushaanza kuwaza uwazayo? Badae uje kusema wanawake wabaya kumbe huwa mnakurupuka wenyewe.
Sio kweli, thibitisha.Barmaid yoyote ni malaya
Hahaa, hadi leo yuko kwangu, nadhani you can guess [emoji28]Mle kwanza mengine baadae
Asante kwa ushauri wenye ushuhuda mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli kabisa naomba kwaya wote hovyo kabisa.oa kabisa baada ya kuzalisha ndio umtafutie kazi au kumfungulia biashara.hakikisha umeenda kujitambulisha kwao na kwenu.tulioa mabarmed tunaenjoy sana kwanza mzuri pia anajua kila kitu
Safi sana,hongera zakoHahaa, hadi leo yuko kwangu, nadhani you can guess [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui nikwambie nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anatafuta kulia halafu aje atafute huruma. Mwenzie anakua mwema kwa sababu kaonyesha kumsaidia yeye anawaza ndoa.
Atalia vibaya huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama yuko kwangu hadi leo hii I think you can guess.Geje zinakusumbua mkuu embu omba shoo kwanza upigee alafu uje utupe mrejeshoo n mnato au ndio hvyo....alafu tukupe ushauri vzr
Kwanini nijute mkuu? [emoji848]Piga miti achana nae, ukimuoa utakuja kujuta maisha yako yote.
[emoji28][emoji28]Kijana utashamgazwa
Ila huyu sio muongo mkuu.Binadamu wengi ni waongo wakikutana na watu kwenye maisha yao,
Maisha haya magumu sana kwa wengi
Unaweza ukawa na huruma na mtu kwa story zake kumbe ni uongo mwanzo mwisho
Eeh [emoji23][emoji23][emoji23]Na wanawake tumebarikiwa hicho kipaji cha kuwa wema kwa wanaume ili tuishi [emoji23][emoji23]
Huyu hakuna kitu atakosa.Asiyefanya kazi, asile.
[emoji28][emoji28]unapangwa blaza. Subiri ujae kwenye mfumo.
Asante sana kwa ushuhuda huu mkuu.Kuna bro mmoja ni mwalimu pale UDSM mstaarabu sana kaoa mhudumu wa Bar.
Mke mstaarabu kinoma kazaa naye watoto kadhaa.
Sitamtaja kitivo gani lakini ni College of Engineering & Technology (CoET).
Kabisa mkuuUsijichanganye.....
Asante kwa ushauri mkuu.Mke MWEMA ANAPATIKANA POPOTE
ila jitafakari ukipata majibu CHUKUA HATUA
HahahaKila malaya mjini ana story yake, sasa jichanganye!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu isije na kuwa na wewe hii comment, ume andika ukiwa bar,[emoji1][emoji23]
Ubarikiwe sana dada/Mwanamke wa mithali 31Watu wanawachukulia wahudumu wa bar kama Malaya,kama watu wasiyofaa
Hii siyo kweli
Huku nyuma Kuna maumivu makali mnoo ila Mungu ndiye anayejua