Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

Kulia kinyakyusa ena [emoji23][emoji23]
 
Pole sana mkuu.

Ila umeshawahi kuisikia methali ya zamani, "doctors differ, patients die"?
 
Muoe mkuu usiishie kumsikitikia tu

Kama amesoma then anauza bar Kama barmaid maana yake hii elimu ya bongo ina mapungufu makubwa Sana

Anakunywa pombe anakuwa barmaid anatongozeka kirahisi inshort yupo depressed Sana

Mungu amsaidie
Kwakweli Mungu anitie nguvu nisongeshe nae hili gurudumu la maisha. Bado nam-study.
 
Mkubwa una roho nyepesi ila kaza ndugu yangu cha msingi usimchukue kisa ana hitaji msaada au kwa huruma ya aliyo pitia ... mchukue kwa sababu umemuelewa na unataka kuwa nae ... niseme tu fanya maamuzi kwa ubongo sio moyo
Sawa mkuu asante wa ushauri.
 
Dah mkuu umezungumza mazito sana.

Nashukuru kwa ushauri aisee, I will do the needful.
 
Msenge una bahati Sana,chuma cha mjerumani hicho,lakini usipende haraka Angalia unayoyataka yamo kwanza, je,hiyo story ya huyo mbaba kwanini alikubali waowane lakini hakutaka mtoto nae hiyo ni fix check it properly.
Nimekusoma sana mkuu. Nashukuru kwa ushauri.
 
Mkuu, umepiga kwenye chemba ya moyo, huyu akikujibu ni-tag [emoji28]
 
Mkuu usiende pupa hakikisha una varify hizo taarfa zake ipasavyo , ikiwezeka usitafute ndugu nenda kijj alichoish huko kakae kijj kwao peleleza kama kweli chukua jiko ,

Ila ukitiliashaka neno lake alikwambia kuw sio kweli piga chin,

Kila la heri haya mambo hayanaga kanuni
 
Mkuu unaenda kufanya kosa alilofanya mdogo wangu.

Dogo alikuja kukaa na mm sinza mwaka 2015, tumekaa tunapush business hadi akawa na gari yake akapanga kwake.

Akaja kukutana na barmaid wa hukohuko sinza, pisi ni class A, na akawa anaisifia ina tabia njema kama wewe tu unavyoisifia hii.

Nikamwambia, "mdogo wangu kama kuna kitu kiongo duniani ni mwanamke mzuri lkn mwenye shida" Sasa hakunisikiliza, kachukua ile malaya kaweka ndani. Yeye anaona kapata wife material.

Kilichomtokea hadi leo anachukia wanawake vibaya sana. Dogo alipata story anagongewa na boda ila dem akiambiwa anaanza zile "My kwa hio uniamini, mm bora nirudi kwetu tu japo kuna shida usinitafutie sababu" dogo anapoa.

Sasa siku kamfumania dem anagongwa live tena sebuleni na mshikaji wa pale pale bar alipomtolea, na huyo msenge alikua bodyguard tu. Dogo kuleta fujo akala vitasa na jamaa likasepa. Pale pale na yule manzi akaingia kuchukua vyake akasepa na matusi juu kwamba jamaa hajui kukaza mwanamke. Alifedheheshwa sana dogo hadi sasa ukimwambia mwanamke hatokuelewa.

Moral of tje story ni kwamba, huyo dem ana shida zake na ww umeingia 18 zake. Kula temana nae, inaonekana una moyo mwepesi sana, uko easily impressed, na hizo lwa mwanaume ni weakness.

Tomba huyo dem mara 3 tu, ukiendelea kuwa na mawazo hayo basi yafuate! Ila kwa sie ambae tunatumia wanawake sana tunajua, kuna malaya mmoja eti namaliza game asbh namkuta anaosha vyombo, kapika na chai. Nikanywa chai yake nikamlipa atembee, hawa viumbe wanaangalia kaupepo, akikuona unajiweza anakulengesha uwe mnunuaji wa jumla wakati akiendelea kuuzia wale wa rejareja
 
Relax mjomba mauno yasikupagawishe hizo ni genye tu zinakusumbua mpe muda msome tu kama mwaka hiv mpe uhuru ujue tabka yake akitaka kutoka out mwambie sawa simu usimfutilia hata akienda choon
Nimekusoma sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…