Kuna wadada wengine sijui wakoje! Huyu nimeshindwa kuelewa nimfanye nini

Maarifa yenye chizi wake.... muoe mmalizane.. au kama nenda kwake mkayaongee
 
Shoga angu kapewa lift kaamua na kuliendesha kabisa😂😂..fanya Sasa muoane alifaidi uzuri
 
Kwahiyo dada kaona bora tuu muoane na hasara kashakupa [emoji1787]
Sema jamaa anakismati; gharama za matengenezo ndio mahari... Aloooh... na demu Ana gari juu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wadada wanakuonea siku hizi.
 
Mwambie ajiunge jamiiforum ili na yeye awe na gari, huku wote tunayo magari sijui yeye anakwama wapi.? Kweli wadada wengine wanakeraa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…