Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hehehe ugomvi wangu huuwezi ndiyo maana nitakausha sweetheart...Hahahahah Sawa sweetheart ila mmhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe ugomvi wangu huuwezi ndiyo maana nitakausha sweetheart...Hahahahah Sawa sweetheart ila mmhh
Wala hata sio kweli sweetheart… bas tu naamuaga ushinde wew hhaahhaHehehe ugomvi wangu huuwezi ndiyo maana nitakausha sweetheart...
Sawa na iwe hivyo sweetheartWala hata sio kweli sweetheart… bas tu naamuaga ushinde wew hhaahha
Hhhaaha okay sweetheartSawa na iwe hivyo sweetheart
Kamtembelee kwa mpalangeHuyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.
Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.
Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Bro, uwe unatoaga sadaka na fungu la 10.Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.
Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.
Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Sasa papuchi hata akitoa, haina taa. Ingekuwa na taa jamaa naye angegongesha taa ya papuchi ikavunjika ngoma ikawa droo!Tehtehtehteh . Mwenzio anataka kukupa papuch ili ngoma iwe droo
Tafuta hela, gari mbona vitu vya kawaida tu mwana?Hivi ni mimi tu humu JF ndio sina gari au kuna wenzangu?
Na wewe pia una gali?Tafuta hela, gari mbona vitu vya kawaida tu mwana?
Hebu fanya kazi kwa bidii aisee, gari na nyumba ni kawaida tu wala usishangae au kuhisi jamaa wanadanganya kwenye story zao!
Shake before useHuyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.
Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.
Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Ninalo la kuuzia ubuyu.Na wewe pia una gali?
Utagongwa wewe tu.....Hahahha na vile mafundi wako walivyo nitakesha…
Ila lazma nije kuchukua funguo nikaligonge kidogo sweetheart…
Kwani umeshaoa mkuu?kama bado nafikiri ni wakati sahihi wa kuanza kumchunguza na kufanya maisha.amenikwaza sana................ halafu hata si kwamba tuna naniii.....wala. urafiki tu ule akiwa so bored ananitafuta n.k sasa naona kama anataka niingiza kwenye mahusiano ambayo nayakwepa kwake.