[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mazuri, sasa huyo hata ndizi za Mia 2 hawezi nunua akaja nazo nyumbani wanakuwaga wabahili hao!Mwingine aliniuzi sana alikunywa chupa nzima ya chai ya maziwa na mkate nzima mdogo kisa hajawahi kula mkate wa karanga eti ni mtamu sana.
Umesema ukweli mtupu. Tabia za namna hiyo hakika hazipendezi. Na hiyo si kwa wageni tu hata wenyeji wengine wako hivyo. Ila yote ya yote yafaa wabadilike.Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa kati kati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda....
Kinachokera zaidi, mifupa anakujazia mezani.Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua vipande vitatu pasi kufikiria watano wanaomsubiri watapata samaki.
Kusolve hiyo tunawekaga screen dinning roomSikuhizi baba anakula kwenye sofa huku anaangalia Man United inacheza, mama yuko Instagram na simu yake. Watoto anaachiwa dada apambambane nao mezani.
HaaaaaMwingine aliniuzi sana alikunywa chupa nzima ya chai ya maziwa na mkate nzima mdogo kisa hajawahi kula mkate wa karanga eti ni mtamu sana.
Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa kati kati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda...
+1Noted. Ila mimi sipendi kabisa kula kwa watu. Na ikitokea basi huwa napakuwa chakula kiwango kidogo kadiri nitakavyoweza. Ni bora nisishibe ugenini, nitaenda kujazia mbele ya safari (nyumbani).
Huyo atakua amezoea maisha ya kukaa kwenye chumba kimoja. Chumba, sebule na jiko vyote unaviona ukiamka asubuhi, hata kushinda na taulo ni sawa tu.Aisee nimecheka sana...lakini huo ndio ukweli! Mimi nilipata mgeni last two weeks lakini alikuwa wakipekeee...alikuwa anakuja na Taulo tena akiwa kifua wazi Mezani! Muda wote alikuwa akizunguka na Taulo na bila Vest ndani hata pale ambapo walikuja wageni zake kumtembelea! Hakika nilikuwa na wakati mgumu sana! Lakini finally nilitumia diplomasia kumuondoa!