Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Tena wee na mishangazi uchawara yako ya uswazi. Umeme ni kugusa tyuu, luku imooo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HIV bado ipo na inaua ni kuwa makini tu mkuu ,kinga ni bora kuliko tiba .
Kuna uzi leo umeletwa kuwa almost asilimia 80 ya Watanzania wana HIV. Ni research imekuwa published kwenye journal moja huko Marekani.

Bahati mbaya naona JF wameufuta ule uzi uliletwa na Meneja Wa Makampuni labda atuwekee link ya hiyo journal.
 
Halafu hayo madawa yanajua kunawirisha unaona upaja unasema mambo si ndio haya ,kumbe umeingia cha kike.
Mkuu umetumwa....???
Mbona kama unanilenga mimi hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ukiendelea na huu ushauri wako mkuu unakula bloku live live πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna uzi leo umeletwa kuwa almost asilimia 80 ya Watanzania wana HIV. Ni research imekuwa published kwenye journal moja huko Marekani.

Bahati mbaya naona JF wameufuta ule uzi uliletwa na Meneja Wa Makampuni labda atuwekee link ya hiyo journal.
80% inaweza isiwe kweli. Kwamba zaidi ya 40m wana hiv au aids, mmmh!
 
Tena wee na mishangazi uchawara yako ya uswazi. Umeme ni kugusa tyuu, luku imooo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeeeeeh dua la kuku hilo....
Nipo vizri...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Japo mara moja moja sikumbuki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ naelewa sasa mi naruka tuuu show kali rahaaaaaa
 
Jichanganye ujute.
 
Sasa hivi unabetua mwenye ukimwi na ukimwi unajikuta unakuogopa kukupata
 
Nilisha ponea kwenye tundu la sindano mkuu ,ilibaki kidogo nikimbie majibu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…