Kuna wakati huwa najihisi kama niko tofauti na kila mtu

Naamini. Najitahidi kupitia kila herufi ya reply yako. Naona unaelewa vema mambo kama haya. Shukran sana nitafuata ushauri wako. Kuhusu meditation, nimeshawahi kufuatilia ila nikabaki na mawazo kuwa Mm maisha yangu kwa kiasi kikubwa ni kama na meditate. huwa muda mwingi nakaa peke yangu mazingira yaliyotulia, Pengine sijafahamu namna ya ku meditate
 
Mfano Unapitia maisha ya ulevi kiasi cha kutokuaminika, Mara unabadilika labda unahama place usiyofahamika huko unapewa kazi.
Siku moja anapita mtu anayekufahamu, Kwa desturi mswahili atasema tu tabia zako za nyuma hata asiposema utaishi kwa wasiwasi sana.

Mi namuelewa jamaa
 
Asante T11
 
Ntajarbu kusoma hiko kitabu ila nyie cheza na yote ila jarbu kutunza heshma yako mana ikitoka kurud ni ngumu na ni gharama mno,ndyo mana ni hatari kwa moyo utalalama kutaka kurud kama mwanzo ila ishatokea😣😣😣😣😣
 
Amka asubujo fanya zoezi la kutembe harakaharaka japo
dakika 30tu,utaondokana na hiyo hali
 
Aisee pole...natamani ningeweza kukupandikiza Moyo wangu ungeishi best life ever!!madhambi ya past ni mengi Sana,nimeshajisamehe,nimejifunza,sibebi mizigo naishi Maisha yangu to the fullest!Kuna mdau kakushauri uwe karibu na Mungu fanya hivyo hutojuta
 
Naamini. Ila moyo ni chaka.
Binafsi ninaamini Mungu, ila naepuka lile andiko kwenye msahafu la alama za mnafiki "al qafiruna" ni afadhali niwe mkosa dini kuliko kuwa mtu ninayeenda masjid au kanisani kama social congregation tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…