Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Mfano, utakuta wanakwambia eti Putin ni mwamba kabisa. Muda mwingine wanawashingilia Putin na kiduku.
Sasa Rais akiamua kuwaiga hao wanaowaita miamba wanalia tena kwamba ameminya demokrasia wakati hao akina punin wamepiga marufuku demokrasia.
Samia leo akisema hakuna uchaguzi tena hapa Tanzania bali waliopo waendelee kuongoza, wapinzani watalia tena kwamba Samia ni dictator wakati hao akina Putin ni life Presidents na wanawashangila kabisa.
Rais Samia akiamua kufunga jela wapinzani wake ataambiwa ni dictator wakati akina Putin wanawaua kabisa wapinzani wao na CHADEMA wanamshangilia kabisa kuwa hawa ni miamba.
Sasa hapa ndio unakuja kujua kwamba bora upinzani ufutwe maana hawajui wanataka nini na kipi kifanyike ndio maana wamebaki kupinga tu kila kitu cha serikali mana hamna cha kuongea.