Kuna wakati huwa sivielewi vyama vya upinzani hasa Tanzania wanasimamia nini na wanataka nini?

Kuna siku Moja niliwahi kumuuliza chawa mmoja wa chadema kuwa nyie mnataka tuandamane je Kwa Nini tuandamane tunataka Nini Ili tusiandamane ???

Uongozi uliopo haufai?? Akasema tunataka katiba mpya
Nikamuuliza nyie mna katiba? Akasema ndiyo mnaifata ndiyo ndo inayoruhusu mbowe kuwa mwenyekiti Toka namfahamu?? Hakujibu chochote

Nikamuuliza Tena unadhani tatzo ni kubadili uongozi ?? Unadhani hivyo mnavyovilalamikia wakiingia chadema hawatakuwepo au wewe na Mimi tutafaidika Nini huo mfumo mpya wa uongozi mnaoutaka?????
 
Ni wapi wapinzani walikaa vikao na kupitisha huu upuuzi unaoongea humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…