JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Wee endelea tu kumshikia biblia Kila siku mkeo kama mko kanisani....!....
Akutane na wahuni! Wapagani... Show show!.... Wasijua biblia wala kuruaani....
Dharau ndo zinaanziaga hapo....
Mchanue kweli kweli!!! Michano ya kibabe...!
Wee endelea tu kumhubiria injili mkeo kama mko kanisani!.... Shauri Yako!