#COVID19 Kuna wakati nawaza huenda Corona inauwa zaidi wanaume kuliko wanawake (ipo haja kuchunguza ni kwanini)

Eventually wote tutakufa so wether or not men are more likely to be hospitalised or die by Covid 19 is trivial consideration
 
Siyo Corona peke yake mkuu, hata High/Low blood pressure, diabetes, ajali, pamoja na madhila mengine mengi yanaua wanaume zaidi ya wanawake. Ndiyo sababu Msondo Ngoma waliimba " wanaume tumeumbwa matesooo, oh matesoo kuhangaika ........"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…