#COVID19 Kuna wakati nawaza huenda Corona inauwa zaidi wanaume kuliko wanawake (ipo haja kuchunguza ni kwanini)

#COVID19 Kuna wakati nawaza huenda Corona inauwa zaidi wanaume kuliko wanawake (ipo haja kuchunguza ni kwanini)

Eventually wote tutakufa so wether or not men are more likely to be hospitalised or die by Covid 19 is trivial consideration
 
Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie!

Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake!

Hii ni kutokana na ukweli kwamba, wanandoa wazee wanapopata changamoto za ugonjwa huo, Akianza kufa mwanamke basi kama mme alikuwa naye wakati wa kuuguza naye hufariki siku chache baadae.

Lakini akianza kufa mwanaume, wamama wamekuwa wakihimili kubaki hai ukiringanisha na wanaume!

Nadhani wanawake kuna kitu kinawabeba wasiathiliwe zaidi na huo ugonjwa!

Huu ugonjwa kuna uwezekano ukawa unaathili zaidi wanaume watu wazima kuliko wanawake!

Watalaam mnaweza kunielewesha zaidi.
Siyo Corona peke yake mkuu, hata High/Low blood pressure, diabetes, ajali, pamoja na madhila mengine mengi yanaua wanaume zaidi ya wanawake. Ndiyo sababu Msondo Ngoma waliimba " wanaume tumeumbwa matesooo, oh matesoo kuhangaika ........"
 
Back
Top Bottom