MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Eventually wote tutakufa so wether or not men are more likely to be hospitalised or die by Covid 19 is trivial consideration
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Corona peke yake mkuu, hata High/Low blood pressure, diabetes, ajali, pamoja na madhila mengine mengi yanaua wanaume zaidi ya wanawake. Ndiyo sababu Msondo Ngoma waliimba " wanaume tumeumbwa matesooo, oh matesoo kuhangaika ........"Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie!
Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake!
Hii ni kutokana na ukweli kwamba, wanandoa wazee wanapopata changamoto za ugonjwa huo, Akianza kufa mwanamke basi kama mme alikuwa naye wakati wa kuuguza naye hufariki siku chache baadae.
Lakini akianza kufa mwanaume, wamama wamekuwa wakihimili kubaki hai ukiringanisha na wanaume!
Nadhani wanawake kuna kitu kinawabeba wasiathiliwe zaidi na huo ugonjwa!
Huu ugonjwa kuna uwezekano ukawa unaathili zaidi wanaume watu wazima kuliko wanawake!
Watalaam mnaweza kunielewesha zaidi.
Kwani umeona imeandikwa ni kila mwanaume?Kila mwanaume anafanya kazi kiyoyozini?