Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma.
Utasema ooooh...wengine walikufa. Sawa walikufa.sasa huyu babu yako ambaye amebaki alifanya nini? Hamna mashamba makubwa, hamna mifugo mingi... Mpo tu hata CCM haiwatambui kuwapa vyeo. Sasa si bora angekufa akiwa ana try something new. Na pengine ange survive ungekuwa USA huko angalau maisha yako si haba. Sema labda ungeamua kuwa unatumia unga.
Lakini bora kidogo. Uongo? Unatumia unga wa hapa Bongo ushachanganywa sana mpaka hata stimu zinakuwa za kulazimisha na zina haribu akili.
Anyway. Mi nimewaza tu. Wengine wangeenda uarabuni huko na kuwa....sijui nini. Akajifanya kuwachenga wazungu abaki Tz eti ye mjanja. Kiko wapi sasa? Si bora tu angejipeleka kwenda huko pengine nawe ungezaliwa huko kwa watu. Kuliko sasa hivi upo Bongo unalalamika jua tu umepauka kama samaki aliyeanikwa juani.
Babu yako amebaki kusimulia tu kuwa alikwepa kuchukuliwa utumwani. Muulize sasa alibaki anafanya nini? Si bora hata angechukuliwa huko akafa. Kabaki ni shida tu kwenu. Sasa hivi asubuhi na jioni mna kazi ya kumtoa aote Jua. Ukoo wote mmechoka sababu ya udwanzi wake wa kukimbia kuchukuliwa utumwani. Haya alibaki.kipo wapi sasa? Anavaa tu shirts na kofia za CCM. Hovyo sana.