Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

Sijajua umewaza kutumia kiungo
gani mwilini mwako,
hivi unajua zile Safari zilkuwa za jasho na damu na hujui unapelekwa wapi hata wanaofika Siyo idadi iliyoanza Safari
Kwakweli mkuu inashangaza sana, fikiria watu wametoka Uvira, Manyema, Kalemie, Bukavu, Goma huko Kongo, wamevuka ziwa Tanganyika kwa tabu na mashaka kisha wakatembea kwa miguu mpaka Bagamoyo ili wasafirishwe kwenda ughaibuni!!
Hii safari watu wa leo watafia njiani.
 
HATA kama n mateso wangeteseka waoo vizazi vyao vingetoboaaa ona sasa hali si nzuri kabisaa kila Kona ya africa
Vizazi vyao vingetoboa wapi? Wamarekani weusi wenyewe failure tu huko
Hamna mahala hii ngozi imeenda huko duniani ikatusua
 
inauma sana kwakweli
 
Hehehe
 
Usiwalaumu waliokufa bali jiangalie wewe sasa,
Leo njia za kufika majuu ni rahisi kuliko wao waliodhalilika na wengine kutupwa baharini kisa waliugua.

Leo hakuna kulazimishwa kuja ulaya bali unaenda jiua mwenyewe kwenye boti lililojaa watu 300 na kuzama
Kila mmoja apambane na hali yake, na ukitaka kuja majuu unaweza ila usisubiri mizimu ikusaidie
 
Kuna sehemu nimelaumu wazazi? Nyie watu hamjui kusoma? Na nani amesema wazazi wake wamekufa au anawalaumu?
 
Mkuu unataka babu yako angekuwa kachukuliwa utumwani ili wewe ufike Marekani?

Mbona unataka kulipa bei kubwa sana kwa kitu kinachoweza kupatikana bila utumwa?

Mbona sisi wengine babu zetu hawajawa watumwa na Marekani tumefika, tumesoma, tumefanya kazi, tumejenga nyumba, tymefanya biashara, mpaka uraia tumechukua?

Jipange tu, Marekani unaweza kufika bila babu yako kuchukuliwa utumwa.
 
Kuwa marekani ingekua wote tupo kule huku africa ingekuaje..? Kuja wale wangoni waliokimbia south na kuja east africa na central africa nao wameruka mmojo wakakanyaga mavi ..?
 
Bangi +gongo +mihadarati +kichwani 0=Bomu la Asili!. Mlipuko wake ni mkubwa sana!!
 
Mkuu. Mbona hakuna nilipoandika kuwa nlitaka babu yangu achukuliwe utumwa? Na mimi nimeishi sana Usa kentucky na huwa naenda mara nyingi sana. Si issue kwangu.
 
Sikuzote me nasema wa kulaumiwa ni wapigania uhuru ndio walipotosha waafrika Leo imegundulika kumbe walipigania maslai yao binafsi na sio ya waafrika wote.
Ni wao tu na vizazi vyao ndio wanakula matunda ya uhuru.
Achana na propaganda mkoloni hakuwahi kuwa na shida kwa mwafrika kumiliki uchumi thus walikuwwpo waafrika wafanyabiashara, wakulima wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…