Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

Hivi vitu vinategemeana. Je huko angemkuta mamako au bibiako? Jibu ni hapana.
So babako asingezaliwa na mamako asingezaliwa na wewe usingezaliwa.
 
Anza kwa kununua pori hata chalinze kwa bei ya mbuzi baada ya miaka 20 mwanao akimaliza chuo itakuwa imeungana na Dar
Nipo mbali na dar Kaka ,nimeanza kwa kufuga kuku wawili jogoo na tetea ili mwanangu akija kufikisha miaka kumi na minane nitakuwa na kuku laki moja ,nitauza nimfungulie biashara kariakoo ya vitenge kaka
 
Mkuu. Mbona hakuna nilipoandika kuwa nlitaka babu yangu achukuliwe utumwa? Na mimi nimeishi sana Usa kentucky na huwa naenda mara nyingi sana. Si issue kwangu.
Mkuu post yako namba moja kifupi umesema bora babu zetu wangekuwa watumwa tungekuwa Marekani.
 
HATA kama n mateso wangeteseka waoo vizazi vyao vingetoboaaa ona sasa hali si nzuri kabisaa kila Kona ya africa
Mbona njia za kwenda marekani zipo wazi kuliko kuanza kumlaumu Babu yako?
 
Sijajua umewaza kutumia kiungo
gani mwilini mwako,
hivi unajua zile Safari zilkuwa za jasho na damu na hujui unapelekwa wapi hata wanaofika Siyo idadi iliyoanza Safari
Wengi walichukuliwa from west africa kwa sababu ya Atlantic ocean kuwasafirisha through trans Atlantic slave trade

Huku east afrika Sana Sana walipelekwa Zanzibar na uarabuni huko kwenye clove & coconut plantations
 
hiyo ilikuwa ni miaka ya 1,526 to 1,867 huyo babu unayemlaumu ni wakipindi hicho?😕 can you trace them back?
 
Mkuu post yako namba moja kifupi umesema bora babu zetu wangekuwa watumwa tungekuwa Marekani.
"Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma.

Utasema ooooh...wengine walikufa. Sawa walikufa.sasa huyu babu yako ambaye amebaki alifanya nini? Hamna...."
 
Wakati unalaumu wazee wako kutokuachia urithi jiulize wewe Sasa hivi unafanya nini kuachia vizazi vyako urithi?!!

Kama isha linakubondonda basi ujue na zamani ilikuwa hivyo hivyo!
"Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma.

Utasema ooooh...wengine walikufa. Sawa walikufa.sasa huyu babu yako ambaye amebaki alifanya nini? Hamna......"
 

Naam.

Kwa nini unaona njia ya kufika Marekani inatakiwa kupitia kwenye utumwa wakati watu wamefika Marekani bila utumwa?

In fact, kwa nini unaona kuwa kila mtu anatakiwa afike Marekani?

Kwani hakuna watu wanaotaka kuiendeleza nchi yao kwa kubaki huko kwao?

Kika Mtanzania akikimbikia Marekani Tanzania ataiendeleza nani?
 
Hawa waliopo hapa wameendeleza nini? Kila nikirudi nakuta madudu tu. Juzi juzi Japan imewasaidia matundu ya vyoo 25. Mnaendeleza nini hapo?
 
Hawa waliopo hapa wameendeleza nini? Kila nikirudi nakuta madudu tu. Juzi juzi Japan imewasaidia matundu ya vyoo 25. Mnaendeleza nini hapo?
Kama wameshindwa hilo ni suala tofauti.

Lakini hilo halimaanishi kila mtu anatakiwa atake kuishi Marekani.

Wengine washaridhika kula mihogo na kisamvu cha nazi Marekani hakuna hayo mambo.

Sasa kwa nini unataka kuwalazimisha watake kuishi Marekani nchi ambayo muda wowote unapigwa risasi na Polisi na kuuawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…