Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

umesoma kwa utulivu kidogo?sijaona kama nimelazimisha watu wote waende marekani lakini suala la kuuawa hata tanzania muda woowte unatekwa na kuuawa , muda wowote unakabwa na kuuawa , muda wowote mwanamke anaweza fariki wakati wa kujifungua, au kwa malaria, au kwa kipindu pindu, au kwa kukosa matibabu mepesi tu, muda wowote mtu anaweza singiziwa kesi akafungwa..... so its about choices.
 
Wewe unaweza kwenda freely sio kama mtumwa na bado unashindwa. Babu yako ni bora kuliko wewe.
 
Wewe ndiye hujaandika kwa utulivu.

Katika dunia ambayo mtu yeyote anaweza kwenda Marekani bila kuhitaji utumwa wa mababu umeileta habari ya kutamani utumwa wa mababu kama hoja ya kumfaidisha mtu kufika Marekani.
 
basi kwe hujasoma kwa utulivumtu yeyote anaweza kwenda marekani???????????? hii hiii????? kweli kuwa kila tom ,dick and harry can come up here in the USA? basi sasa nimeelewa shida ni nini.

Mungu tu awasaidie muweze kufanikiwa na ninyi huko TZ
 
Lakini mkuu kama babu zetu wangechukuliwa sidhani kama mimi na wewe tungezaliwa
 
Ni sawa na kusema wewe ungekuwa Adam na Ever usingeli kubali kula tunda ,tambua ya kwamba kuna miamba hapa hapa Africa ina miliki utajiri wa kutosha ni haija wahi kwenda kokote nje ya Africa sasa swali la kujiuliza wewe mtoa mada legacy kani utawaachia vitukuu vyako, kwamba walikuwa na babu jembe kweli kweli kwa assets utakazo acha kama maviwanja mengi maeneo potential, mijengo n.k.
 
basi kwe hujasoma kwa utulivumtu yeyote anaweza kwenda marekani???????????? hii hiii????? kweli kuwa kila tom ,dick and harry can come up here in the USA? basi sasa nimeelewa shida ni nini.

Mungu tu awasaidie muweze kufanikiwa na ninyi huko TZ

Mtu yeyote (Ukiondoa wachache waliopigwa ban kama Makonda na waliopigwa palanja) anaweza kwenda Marekani, tafuta hela. Ubalozi wa Marekani wanatafuta watalii pale.

Hata kama si mtu yeyote anaweza kwenda, kwa maana ya jwamba access is tgere but not everyone has mibey, kutaka utumwa ili uwe Marekani ni janga.
 
Kweli wewe ni Chizi maarifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…