Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Mhhh! ni masikitiko makubwa sana kwa wanajamvi tena mwanaume na akili zako timamu unakaa kuvizia ID mpya yenye kajina ambako unafikiri atakuwa msichana.

Huo ni ulimbukeni na mwachage hiyo tabia kabisa nyie ndio mnao fanya watu waone JF ni kama badoo kuja na kuja mnataka muombe tunda.

Kuna jinga moja hivi aisee achaga hizo huku sio Facebook kuombana friend request in short mimi ni dume la mbegu na nimekuja kusumbua so tulia kijana hili ni jina tu.

Wala sio mpya humu tu ni maswahibu yalionikuta ya kusahau kipassword cha akaunti yangu.

Mimi najua sio mwandishi mzuri

Naishi Milele
 
Pia tabia ya mwanaume unakuwa husomeki sometimes nako inafikirisha sana ... au utakuta mwanaume anajifanya demu au anaweka avast ya kike .... ofcoz na mimi naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom