Mhhh! ni masikitiko makubwa sana kwa wanajamvi tena mwanaume na akili zako timamu unakaa kuvizia id mpya yenye kajina ambako unafikiri atakuwa msichana
Huo ni ulimbukeni na mwachage hiyo tabia kabisa nyie ndio mnao fanya watu waone Jf ni kama badoo kuja na kuja mnataka muombe tunda
kuna jinga moja hivi aisee achaga hizo huku sio facebook kuombana friend request in short mimi ni dume la mbegu na nimekuja kusumbua so tulia kijana hili ni jina tu.
Wala sio mpya humu tu ni maswahibu yalionikuta ya kusahau kipassword cha akaunti yangu
Mimi najua sio mwandishi mzuri
Naishi Milele