mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
mleta mada kazungumza kitu muhimu sana,kuna wakati nilibadili ID na kujiita "Misfortune" kwa sababu zangu nazozijua,kuna jamaa si likaja DM nimeniandikia "Mambo" ikabidi nilitukane nibadili na jina tena
Hahaha, eti akaze mwandiko.Hahaha...mkuu kaza mwandiko wako....
Uwe unakoroma kwenye comments la sivyo hizi mamboz hazitaisha.
Wewe sasa mchokozi , sehemu ina cheche unamwaga petrol.Toa mbunye wahuni waishi! Hujainunua ulipewa bure sasa kiburi cha kunyima watu unakitoa wapi?
nifuate nikufundishe jinsi ya kuishi mileleKwa hyo ndo unaishi milele sio
Ahh unajitaaje Miss fortune bro,mleta mada kazungumza kitu muhimu sana,kuna wakati nilibadili ID na kujiita "Misfortune" kwa sababu zangu nazozijua,kuna jamaa si likaja DM nimeniandikia "Mambo" ikabidi nilitukane nibadili na jina tena
kwaiyo unamaanisha nan humu?Tatizo na wanaume wanatoa tigo...ivo sikuhiz ni kuomba tu bila kuzingatia jinsi mkuu
Kufanya nusura . mbona nishakwambia kitambo tu
Kuna mwamba alitaka amle kimasihara akatoe ushuhuda kuleKwa hiyo umeombwa tunda mkuu!
Hiki kichwa hiki, wana Jf mkiangalie vizuri😂Tatizo na wanaume wanatoa tigo...ivo sikuhiz ni kuomba tu bila kuzingatia jinsi mkuu
🤣 🤣 mbona unautangazia uma mkuu?Hiki kichwa hiki, wana Jf mkiangalie vizuri😂
Achana nao mkuu...we uwe unawapuuza tukwaiyo unamaanisha nan humu?
Kakorofi sana wewe😄.🤣 🤣 mbona unautangazia uma mkuu?
Haya bhana.Kakorofi sana wewe😄.
Na avatar ulibadilisha?Haya bhana.
Kwahiyo umeona na wewe ulete uziMhhh! ni masikitiko makubwa sana kwa wanajamvi tena mwanaume na akili zako timamu unakaa kuvizia ID mpya yenye kajina ambako unafikiri atakuwa msichana.
Huo ni ulimbukeni na mwachage hiyo tabia kabisa nyie ndio mnao fanya watu waone JF ni kama badoo kuja na kuja mnataka muombe tunda.
Kuna jinga moja hivi aisee achaga hizo huku sio Facebook kuombana friend request in short mimi ni dume la mbegu na nimekuja kusumbua so tulia kijana hili ni jina tu.
Wala sio mpya humu tu ni maswahibu yalionikuta ya kusahau kipassword cha akaunti yangu.
Mimi najua sio mwandishi mzuri
Naishi Milele
Ndiyo,huwa nabadilisha mkuuNa avatar ulibadilisha?