Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unahisi siwezi kutimiza/kununua?Huwezi itimiza ninachokunywa huwezi kukinunua au umesahau?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Swali zuri sana
Hiyo chai unanywea mgahawani au home?Napata chai nitarud kuwatag kwenye comment mabilionea ya jfView attachment 813759
Wewe umejuaje anasomaga bila kukoment na kutoa like?Uwiii. Nimejikuta namkumbuka Kaka yangu wa damu DellaPina ila shida yake huyu kaka wa mie kuandika ni shida na hata Likes hatoagi ye anapita kimya kimya tu labda umkute kwenye uzi wake pendwa wa Juventus special thread.
😀😀😀😀😀😀Hivi Mshana hauwezi kugeuza makaratasi kuwa pesa kama wale wanamazingaombwe wa zamani?
Hahahaaaa. Mangi umeamua tu kunitoa upepo leo.Wewe umejuaje anasomaga bila kukoment na kutoa like?
Mmmmh!!Naomba kujazia hapo.
Wanaume wenye pesa hata ukiwakataa wanakaa kimya. Wale njaa kali wenzangu ukimkataa anaanza kuwa mmbea mara akuongelee mafumbo. Wakati hujala elfu mbili yake.
Kumalizia hili wifi naomba hao wenye hela unipatie ID zao nikawasalimie piem
AiseHuwezi itimiza ninachokunywa huwezi kukinunua au umesahau?
Good questionWewe umejuaje anasomaga bila kukoment na kutoa like?