haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa.
Kuna sisi, wazee wa love on the first sight , yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka.
Unatumia swaga vizuri, pamba safi, muonekano wa nabii yusuph, kwanini mwanamke asikupende?
Sasa we sura personal, kuvaa zero, huna swaga we lazima ukubaliwe na huwezi kupendwa kamwe, utabaki kuonewa huruma tu.