Kuna wanaume mpaka wanazeeka hawajawahi kupendwa.

Kuna wanaume mpaka wanazeeka hawajawahi kupendwa.

kwa asilimia kadhaa nawez sema uko sahih kwa upande mmoja lakn unasahau kuw suala la mwanamke kupenda ni hatua ya muda mrefu ni sawa na siasa mbunge kuomba kura za wananchi ni mchakato wa muda mrefu consistency inaitajika. Hakuna mwanamke muongo ni vile tu hatujapendwa😂 tumekubaliwa naomba kuunga hoja.
 
We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa.

Kuna sisi, wazee wa love on the first site, yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka.

Unatumia swaga vizuri, pamba safi, muonekano wa nabii yusuph, kwanini mwanamke asikupende?

Sasa we sura personal, kuvaa zero, huna swaga we lazima ukubaliwe na huwezi kupendwa kamwe, utabaki kuonewa huruma tu.
WaTz na kiingereza, ni janga!
 
Kuna sisi, wazee wa love on the first site, yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka.
Mkuu naona umeshavurugwa na filamu za kifilipino na wahindi kuchi-kuchi-hotae.

JIPE MUDA, siku utapokagua Simu yake uone amekusave "Shangazi wa Bunju" ndio utaelewa kwanini alivyokuona tu alikuelewa moja kwa moja.

Asante.
 
Mi nabahatika kupendwa ila huwa sipendeki mtu kunijali sana sitaki
 
Ni udhaifu wa hali ya juu Sana kwa mwanaume kujisifia sura, utanashati,uvaaji na takataka zingine za namna hiyo.

Oyaa bro, wanawake wa siku hizi hata hawana haja na huo utanashati wako.
Pesa ndio mchawi wao.
 
Mwache aendelee hizo ndio hatua za Mwisho za Mwanaume anaetafuta Bwana wa kumuoa
 
Ni udhaifu wa hali ya juu Sana kwa mwanaume kujisifia sura, utanashati,uvaaji na takataka zingine za namna hiyo.

Oyaa bro, wanawake wa siku hizi hata hawana haja na huo utanashati wako.
Pesa ndio mchawi wao.
We utaliwa pesa hadi uchakae. There is no one way to a woman heart, but using money is a horrible way.
 
We utaliwa pesa hadi uchakae. There is no one way to a woman heart, but using money is a horrible way.
Unafaa kujua pesa sio tatizo kwa watu wengine kijana.
Kama huna hizo pesa ndio utaona Ni vigumu ila wenye nazo wanazitumia jinsi wanavyotaka
 
Mwanaume kupendwa sio suala la kujisifia, hatutaki kupendwa, tunataka heshima, tunataka mwanamke sahihi.
 
Jamaa anajisifu kwamba anapendwa na yeye sio sura personal, wakati ukiangalia list ya maex wa demu wake anayemuona special utakuta sura personal kibao washapita, hapo ndio utagundua kumbe hana maajabu.
 
Back
Top Bottom