Mbagala stendi
JF-Expert Member
- Nov 8, 2020
- 331
- 383
WaTz na kiingereza, ni janga!We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa.
Kuna sisi, wazee wa love on the first site, yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka.
Unatumia swaga vizuri, pamba safi, muonekano wa nabii yusuph, kwanini mwanamke asikupende?
Sasa we sura personal, kuvaa zero, huna swaga we lazima ukubaliwe na huwezi kupendwa kamwe, utabaki kuonewa huruma tu.
Mkuu naona umeshavurugwa na filamu za kifilipino na wahindi kuchi-kuchi-hotae.Kuna sisi, wazee wa love on the first site, yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka.
Love is for women, kids and dogs.
Ww mtoa mada ni yupi kati ya hao?
Akikujibu nitag tafadhaliLove is for women, kids and dogs.
Ww mtoa mada ni yupi kati ya hao?
Mwisho utaolewaUtapendwa hadi na wanaume
Angalia usije ukaolewaMi nabahatika kupendwa ila huwa sipendeki mtu kunijali sana sitaki
Mwache aendelee hizo ndio hatua za Mwisho za Mwanaume anaetafuta Bwana wa kumuoaNi udhaifu wa hali ya juu Sana kwa mwanaume kujisifia sura, utanashati,uvaaji na takataka zingine za namna hiyo.
Oyaa bro, wanawake wa siku hizi hata hawana haja na huo utanashati wako.
Pesa ndio mchawi wao.
We utaliwa pesa hadi uchakae. There is no one way to a woman heart, but using money is a horrible way.Ni udhaifu wa hali ya juu Sana kwa mwanaume kujisifia sura, utanashati,uvaaji na takataka zingine za namna hiyo.
Oyaa bro, wanawake wa siku hizi hata hawana haja na huo utanashati wako.
Pesa ndio mchawi wao.
Unafaa kujua pesa sio tatizo kwa watu wengine kijana.We utaliwa pesa hadi uchakae. There is no one way to a woman heart, but using money is a horrible way.
Kuwa makini unavyotukana watu mitandaoni utajikuta umemtukana kibenten wa mamaakoAngalia usije ukaolewa
Pokea simu kijana pokea simu kijana muhendisamu......Niko town hapa “daslam