Kuna wanaume mpaka wanazeeka hawajawahi kupendwa.

Unafaa kujua pesa sio tatizo kwa watu wengine kijana.
Kama huna hizo pesa ndio utaona Ni vigumu ila wenye nazo wanazitumia jinsi wanavyotaka
Pengine hata hujui how it feels to be loved by a women. Keep using money if that is all you have got.
 
Jamaa anajisifu kwamba anapendwa na yeye sio sura personal, wakati ukiangalia list ya maex wa demu wake anayemuona special utakuta sura personal kibao washapita, hapo ndio utagundua kumbe hana maajabu.
We unamjua demu wangu? Ukimuona wewe huwez hata kumpa salam, mana sio hadhi yako. She is gorgeous of 1% of 1% of gorgeous in the world
 
Comment zinaonyesha jf kumejaa watu wa sura personal kweli kweli .
 
Kwaiyo wewe n mzuri sio
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ umewachokoza sura ngumu, subiri kuitwa upinde
 
Hiii inasikitisha sana mpk unakua mzee hupendwi wakati uku tunawaliza wanaotupenda 🀣🀣🀣
 
We unamjua demu wangu? Ukimuona wewe huwez hata kumpa salam, mana sio hadhi yako. She is gorgeous of 1% of 1% of gorgeous in the world
Acha ushamba dogo, mwanamke hata aweje bado atabaki kuwa chini ya mwanaume
 
Lipia tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…