Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Dharau + ulimbukeni!!!...
Wanaume wa hivi huwachukulia wake zao wa kawaida kwasababu hawawasumbui kuhusu matumizi au vitu vya ziada na mwanaume anaona huyu (mke) tayari yuko nyumbani anammudu ila mchepuko anakuwa na wasiwasi kumpoteza na michepuko inajua kudai aisee hasa wakishaona wanakumudu baada ya kuonyesha ulimbukeni wako🤣🤣🤣.
 
Tatizo nini??

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ?? Kumchoka mke au kumdharau
Mchepuko hata kama una tabia mbaya ili ule pesa za Mwanaume huwa unahibebisha sana, unyenyekevu wa hali ya juu, utii na heshima hata kama ni ya mchongo.

Hakuna Mwanaume mgumu kwenye haya mambo.

Nadhani nimeeleweka wazee wa chovya chovya wananielewa.
 
Back
Top Bottom