Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Tatizo nini??

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ?? Kumchoka mke au kumdharau
Sababu ni za kisaikolojia zaidi pamoja na mvuto wa mchepuko na si kumchoka mke!

Nimeeleza kifupi, kama haujaelewa naweza nikapata muda kujaziliza maelezo yangu kwa kujaza page.
 
Hao sio wanaume rijali anaewwza kuoiga bao tatu bila busta
 
Tatizo nini??

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ?? Kumchoka mke au kumdharau
Tatizo la mke kutokumpa haki ya ndoa mumewe, Mfano Wanaume wakizanzibar wanawapenda Dada kutoka Tanganyika kwasababu wanapewa tendo muda wote wakitaka ndiyo maana Dada kutoka Tanganyika akienda kule Nchini Zanzibar wanaume wa kule wana wahudumia kwa gharama kubwa kuliko wake zao utakuta mke na watoto wanakula mchuzi wa maji na bofro na watoto wakienda shule wamevaa Kanda mbili au yebo yebo, Wakati huo mchepuko ana panga nyumba nzuri na kula Vizuri kuliko mke wa ndoa na watoto, tena huyo mchepuko ana jiuza yani kule Mchepo wanakua Malaya wanaojiuza, ni sawa Hapa Bongo Mfanyakazi wa Serikalini Ampangie Nyumba na kumuhudumia Malaya wa Bunguruni au kitambaa cheupe. Kule hawajui kutofautisha wanawake Mwanamke chagudoa anakua hana tofauti na Mwanamke ambaye siyo changudoa, utakuta kijana wakizanzibar demu wake changudoa.
 
Tatizo la mke kutokumpa haki ya ndoa mumewe, Mfano Wanaume wakizanzibar wanawapenda Dada kutoka Tanganyika kwasababu wanapewa tendo muda wote wakitaka ndiyo maana Dada kutoka Tanganyika akienda kule Nchini Zanzibar wanaume wa kule wana wahudumia kwa gharama kubwa kuliko wake zao utakuta mke na watoto wanakula mchuzi wa maji na bofro na watoto wakienda shule wamevaa Kanda mbili au yebo yebo, Wakati huo mchepuko ana panga nyumba nzuri na kula Vizuri kuliko mke wa ndoa na watoto, tena huyo mchepuko ana jiuza yani kule Mchepo wanakua Malaya wanaojiuza, ni sawa Hapa Bongo Mfanyakazi wa Serikalini Ampangie Nyumba na kumuhudumia Malaya wa Bunguruni au kitambaa cheupe. Kule hawajui kutofautisha wanawake Mwanamke chagudoa anakua hana tofauti na Mwanamke ambaye siyo changudoa, utakuta kijana wakizanzibar demu wake changudoa
Baadhi
 
Ni wote utakuta Mke anaenda kwao anakaa zaidi ya wiki moja na kule kwao hakuna jambo la muhimu lililo mpeleka utakuta yupo nyumbani kwao tu, kamuacha mume wake yupo mwenyewe. Sasa Kama wewe mke wa mtu tena ndoa haina hata mwaka kila wiki unaenda kukaa kwenu na umbali kutoka kwa mume wako mpaka kwenu nauli 500 kenda na kurudi lakini utakuta mke hataki kukaa kwake bado anapapenda nyumbani kwao.
 
Back
Top Bottom