Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Totally personal, hii nchi ishakua na wachawi sana yani mtu atafute fweza zake then matumizi mumpangie kenge, are you mad?? Unatumia namna yoyote unayotaka, maisha yenyewe yapo wapi haya? Kuna sheria wapi inasema lazima utumie na mke au na mtu fulani? Periodoz😀

Kila mtu ashinde mechi zake, ukitumia na mke, watoto wazazi, marafiki, manabii na mitume wa kibongo, shekhe mwaipopoz, wanasiasa, waganga wa kienyeji, yanga na simba kivyako tu as long as ni fweza zako who cares?

Maisha hayana standards wazee ni vile unajiweka mwenyewe na unapata furaha, hivi vibandiko/kofia tu zimewekwa zisikukaririshe vinginevyo wote ni binadamu na tunaishi socially, baba, mama, mke, mtoto, mchungaji, shekhe, askofu, rais, mjumbe, waziri, balozi, engineer, mwalimu, daktari, mchepuko, hawara ni tittles tu za huduma unayotoa lakini wote ni binadamu tu unapotumia fweza yako wala usijute umetumia na nani as long as ni binadamu na anakupa furaha inatosha. Maisha yanaendelea, hudaiwi na ntu yoyote!

Acheni watu waishi maisha yao bana...
 
Tatizo nini??

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ?? Kumchoka mke au kumdharau
Na kuna michepuko inapika vizuri, inafua vizuri na inajali sana mwanaume anataka nini na hapendi nini, kitu ambacho wanawake wakiolewa tu wahawafanyi. Je hao wanawake ambao hawawajali wanaume zao, wamewachoka au wanawadharu!?
 
Mtoto mbishi wewe humu kuna saidia fundi em nielewe basi..!! 😹😹😹
Wanamiliki pima maji na mwiko shauri yako..!!
Mbona unataka nipeperushia njiwa wangu, tumekwepa mishale mingi sana mpaka hapa tulipofikia 😂

Marry na kijana wake hawajui wanachokitaka wale 😂
 
Wewe kama mwanamke fanya kazi uweze kujitegemea uache kulalamika kuna mtu anahudumiwa kuliko wewe. Umekuwa mtumwa au mgonjwa?
 
Back
Top Bottom