Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Weeee ngoja niombe ruhusa kwanza Kwa katibu wangu Lamomy hebu njoo mdogo Ako nimepata baby hukun😂😂😂

Kwani huwa zinafingulaje ht sijui🤷
Kwamba siku zote hizi mlikuwa hamdate
img_1_1751267583532.jpg
 
Huwezi kuwa mchepuko usiwe na hela ya ku mspoil mke vizuri, utakuwa una Matatizo Makubwa sana
 
Back
Top Bottom