Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Mchepuko kila chakula cha usiku lazima na maziwa yawepo,nyama za kwenye pilau zinakaangwa kwanza ndo zinachanganywa kwenye mchele

aCha tu lazima mtu uhudumie zaidi

Afu kipochi manyoya mwanzo mwsho kina maji constant na mtoto anajua kujituma

Avelina A M
 
Kuna vitu vinaudhi asee,
Mfano mimi juzi nilimuahidi baby wangu kumnunulia kitu flani kipindi naenda bank kuchukua hela nifanye ile issue nikapokea simu kutoka home kuna mishe ya kusolve chap. Ikabidi nitoe pesa zote zilizokuwepo bank kwa ajiri ya kusolve issue ile.

Nikamtumia txt kumwambia mishe yake nitamfanyia kama baada ya siku tatu hivi kuna shida imetokea home. Aisee yule bimdada et akakasirika nilibaki kucheka sana nikamuona mjinga wa mwaka.
Niliwaza mengi sana, that hivi ndo ningekuwa nimeoa hii kengemaji ingekuwaje sijui.
 
Tofautisha kati ya mke na mchepuko na kila mtu ana nafasi yake hapo kuna wa kukuvuruga na wakukutuliza

Kwanza kabsa kua na mchepuko hua kuna sababu Mke anaweza kuleta dharau ndani ya ndoa hakukaliki ndio mchepuko unahitajika hapo na si unajua mchepuko akishajua umeoa na umemuhitaji yeye lazima ajue yakwamba mke wako anafeli mahali fulani

Mchepuko anatumia madhaifu ya mke na kukufanya umpende nayeye kuonyesha heshima kubwa kwako kwaio hata mimi lazma mtu kama huyu nitoe zawadi yoyote ambayo inawezakua hata mke hajawai kupata
 
Dharau + ulimbukeni!!!...
Wanaume wa hivi huwachukulia wake zao wa kawaida kwasababu hawawasumbui kuhusu matumizi au vitu vya ziada na mwanaume anaona huyu (mke) tayari yuko nyumbani anammudu ila mchepuko anakuwa na wasiwasi kumpoteza na michepuko inajua kudai aisee hasa wakishaona wanakumudu baada ya kuonyesha ulimbukeni wako🤣🤣🤣.
Ukiwa limbukeni unaendeshwa kama gari lililoshushwa giabox
 
Tatizo nini??

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ?? Kumchoka mke au kumdharau
Ukitaka kujua kama mwamba anampenda mkewe, ngojea mchepuko upewe mimba? Utaona atakavyo rudi kwa mkewe, huduma zinakata na hata zikitoka zitamuhusu mtoto au kuna wengine mpaka mtoto wanampotezea.

Waume za watu wanawapotezea mabinti wengi timing ya kuwa na maisha yao ya ndoa, sababu tu ya tamaa za mwanamke, halafu wanawake hawajui kuhongwa sio kupendwa,ndio maana maslay queens wamekuwa watumwa wa wanaume matajiri.
 
NIKWELI LAKINI SI KWELI.

Kwakifupi

1: Hii hutokea pale mwanaume anapokoswa amani ya moyo ndani ya familia(mke wake) Hivyo huitafuta kwa gharama yoyote ile nje ya ndoa na akibahatika kuipata huweza kuisahau kabisa hata familia yake.

2: Kuna baadhi ya wanaume ni wadhaifu sana hasa akipata demu mkali anakuwa na muhemko na mchepuko ukimjua huweza kumuendesha unavyotaka wenyewe.

3: Wanawake wengi huwa wanawpa dawa wanaume na kuwa chini ya himaya yake atamuendesha anavyotaka na hata kumfanya familia yake aiache kabisa.
 
E
Ukitaka kujua kama mwamba anampenda mkewe, ngojea mchepuko upewe mimba? Utaona atakavyo rudi kwa mkewe, huduma zinakata na hata zikitoka zitamuhusu mtoto au kuna wengine mpaka mtoto wanampotezea.

Waume za watu wanawapotezea mabinti wengi timing ya kuwa na maisha yao ya ndoa, sababu tu ya tamaa za mwanamke, halafu wanawake hawajui kuhongwa sio kupendwa,ndio maana maslay queens wamekuwa watumwa wa wanaume matajiri.
Exactly mi sielewi wadada sijui huwa wanawaza nn?
And they don't Care most of them

Kwakweli Mungu anisaidie tu
 
😂😂😂Linapokuja suala la kushare nilishashindwa 🙌 nisije enda jela bure

Yeah ni mie,halafu km umenifuatilia mara nyingi siweki picha za watu , kawaida tu mtu mzima mie😂
Uko peke yako mpenzi 😍

Aisee mtu mzima wapi, mtoto unalipa kabisa 😍

Aisee kwa hapa wanipige hata mikuki sikuachi 😍😂

Fungua nione kiface basi maana naona kuna limitation au nitumie hata PM basi mrembo wangu (ukweli nataka nikuone)
 
Weeee ngoja niombe ruhusa kwanza Kwa katibu wangu Lamomy hebu njoo mdogo Ako nimepata baby hukun😂😂😂

Kwani huwa zinafingulaje ht sijui🤷
 
Back
Top Bottom