Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Kuna wanaume wana gharamia michepuko kuliko wake zao sababu huwa ni nini ? Kumchoka mke au kumdharau

Toka enzi za Adamu, vita ya mwanamke aliyeolewa ni kutwaa utukufu na heshima ya mwanaume. Wasichojua ala Moja haikai panga mbili.

Ndio maana sura nyingi za wanawake wa uchumbani haitakuwa sura ya mwanamke wa ndoani.
 
Samahani mkuu, kama hutojali unaweza elezea kidogo aya ya kwanza..?
 
Ndio ubora wa huduma ndio unafanya gharama ziwe juu, sasa kwa wife ukitoa elf kumi unapikiwa dagaa na Tembele, kwa mchepuko unakuta samaki nazi, unafikiri utavutika wapi? mambo mengine wanaume wanaonewa tu
Hahaha.....ila mfano wako sio. Hapa kwa Wife kumbuka una watoto. Bajeti haitoshi
 
Hili la gunia la mkaa limekaaje mkuu? 😂
Cammilla ali nifundisha niseme Mungu nifundishe kunyamaza
FB_IMG_17526788169499131.jpg
 
Back
Top Bottom