Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Ukweli ni kwamba mtaani kuna wake za watu na wana tabia za hovyo sana.
Huyu kasema ila wapo wengi wanaotenda bila kusema.
Ndoa nyingi zipo dizain hii ila tuu watu hawasemi.
Kila ndoa ina Changamoto.
Kila men akisimama na kusema ya ndoani....mtataman kutooa
 
Ndio matokeo ya 50 kwa 50 au tunasema wanawake na maendeleo. Siku hizi wanawake wamekuwa kama wanaume hakuna heshima ndani ya ndoa, ndoa imekuwa kama mazoea uhalisia ule hakuna tena ngoja tuendelee kusubili tutaona mengi sana

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
UNACHANGANYA KATI YA KIBURI NA KUWA NA FEDHA. Hivi nani kasema kuwa mwanamke mwenye fedha, anatakiwa amdharau mumewe? Hivi angeolewa na kapuku ingekuwaje?
 
Umemsikia popote akilalamika? Kawaambia haishi vizuri na mke wake?
Tumsikie kwanza anasemaje ndo sisi tutoe maoni, otherwise kila mmoja atapambana na yake.
Matamshi ya mke kwa wengine, yanasema namna ndoa yake ilivyo..!!! Huwezi tamka vile halafu huko kwako kuwe salama..!! Halafu, wanaume huwa hatusemisemi, tunakufaga na tai shingoni. Hutamsikia Mchechu akilalamika kuhusu mkewe hadharani..!!
 
Huyu natamani sana angekuwa mke wangu; UHAKIKA kabisa ni kuwa sasa hivi hizo hela zake angekuwa anazitumia akiwa na mwanamme mwingine.
 
Kwanza huyu hata hela hana. Wenye hela si tunawajua kwa sura na kwa majina? Huyu nani anamjua?

Wenye hela wapo mabinti wadogo tu kama akina nani wale wa SHEAR ILLUSIONS; alikuwepo pale Mlimani City sasa hivi sijui kahamia wapi. Kwa mfano, wewe unamfahamu huyu?
 
Watu wajue mkioana sio mmoja awe mtumwa kila saa uombe ruhusa kaaa unatoa taarifa mbona ni vyema tu
Sista, unajua kunavitu mwanaume anafanya na jamii imekazia kuvifanya kana kwamba nisahihi lakini kwa mapana ni kama vile vinamshusha mwanaume mbele ya mwanamke ila unaambiwa ndio ndoa hiyo. Unaambiwa kuepusha majibizano wewe jifunze kubembeleza na kusema samahani kwa mkewe kwakuwa yeye hakosei hata kama yeye ndio mkosaji moja kwa moja. Pia tujifunze kuwa majukumu yote ya nyumbani yahusiyo pesa ni ya mwanaume hata kama mama anapesa zaidi ya baba ila ni wajibu wake baba kutunza mama na familia haijalishi situation yeyote ile, nahiki kitu bado kinaendelea na mnakipigania kisiishe kwelikweli. Ila hujamsikia mwanaume akilalamika kwenye public ceremonies au congregations maana ndiyo miiko yetu. Kitu kidogo hichi tu cha kutunza heshima ya mume mnakishindwa, seriously. Mahari ilikuwa kwa binti aliye bikra ila inaendelea mpaka sasa na mnakazania kwelikweli ila kutunza heshima mmeshindwa. Duh! Kwenye mambo mengi tu hutaki kuitwa partner bali mke ila kwenye hilo ndio unataka kuitwa partner. Ndoa kipindi hiki, inatatiza sana tena sana. Miiko mnaipenda ikiwa upande wenu bali ikiwa jukumu lenu mnaichukia na kuona mkandamizo. Haya, ngoja tuyaishi!
 
Hivi yule aliyesema, "MWANAMKE AKIPEWA SAUTI, MAMLAKA...BASI MAMBO YAMEHARIBIKA...JAMII AU FAMILIA INAYOMPA UONGOZI MWANAMKE JAMII HIYO HAITOFANIKIWA KAMWE."

Hivi mnadhani yake yalidondoka bure...?

Sometimes nawaelewa sana Waislam wanavyowadhibiti wanawake zao.

Wanawake ukiwapa Uhuru sana wanakudharau na kukuona bwege kabisa
 

Exactly! Na hii campaign ya kuhamasisha ushoga ndio inakwenda kupigilia msumari wa mwisho kabisa.
 
Ila samahanini sana hivi wenzangu inakuwaje unaoa mwanamke anavaa vinguo vifupi na kazi kubadilisha nywele daily? ...Vinguo mapaja yapo nje mwanamke kazi kujipodoa kila kitu bandia mapaka kucha mna moyo sana
Waume zao ndio wanapenda huo upuuzi. Kuna jamaa alioa binti wa Kiislam anajistiri safi lakini akawa hapendi na akawa anamnunulia vimini ili eti apendeze wenzake wamsifu kuwa na yeye ana mke mrembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…