Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.

Imagine mke wako anajitapa hivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli hapo.

Aisee anahitaji ukombozi wa hali ya juu mwanaume mwenzetu huyu..
 
Halafu swala la kuwa kwenye ndoa mm c amini mpaka huwe na kipato kikubwa hivyo.Hiii inatonakan na wanawake tunao taka kuwaoa ikiwa mwanmke wa starehe ukitka kumfanya mkeo czani kma utaipata hiyo amani ya moyo
 
Hakikisha mkeo anakutegemea kwa Kila kitu hata chupi ununue wewe bro heshima utaipata.imagine mwanamke amenunua gari lake mda wowote anatimka kusiko julikana hapo huna mke utashuhudia dharau mpk bas.
Thubutuuu wanaume wachache wa kibongo wanaweza mudu Hilo🙅wengi wanaoa kazi ya mwanamke,hela ya mwanamke,biashara ya mwanamke, degree ya mwanamke,wanasema wanaenda kusaidizana kujenga family Bora🤣🤣🤣
 
Km pesa ninayo, gari yangu na mafuta najaza mwenyewe, kila kitu najifanyia mwenyewee, sasa naanzaje kuagq?? Baba tamu atapewa taarifa tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman tutafute pesa, ndo raha ya kujitegemea unakua HURU.
 
Hakikisha mkeo anakutegemea kwa Kila kitu hata chupi ununue wewe bro heshima utaipata.imagine mwanamke amenunua gari lake mda wowote anatimka kusiko julikana hapo huna mke utashuhudia dharau mpk bas.
Semaa wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule mwanamke mpumbavu ni mke wa Nehemiah Mchechu, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la nyumba (NHC) sasa Msajili wa Hazina

Sijui Mchechu anaishije na mwanamke asiye na heshima kwa mume kama yule. Kwa kauli ile kamdhalilisha sana mumewe
Khaaaaaah huwezi jua mtindo wao wa maisha ya ndoa.
 
Huyu dada Mercy Luhanga. Mke wa Nehemia Mchechu. Ngonja nikamnyakie Mchechu nimpe heshima zote na mapenzi kama yote. Hahahhaha.Mbona Mercy atatia akili.Jamani ninatania tu,nimeokoka siwezi iba mme wa mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Km pesa ninayo, gari yangu na mafuta najaza mwenyewe, kila kitu najifanyia mwenyewee, sasa naanzaje kuagq?? Baba tamu atapewa taarifa tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman tutafute pesa, ndo raha ya kujitegemea unakua HURU.
Na siku mkiweza kujipa mimba wenyewe itakuwa ze endiii..!!
 
Khaaaaaah huwezi jua mtindo wao wa maisha ya ndoa.
Mlongo, kwa mtindo wowote ule, ILE KAURI YA KUSEMA KILICHONIPA JEURI NI HELA ZANGU..!! Hakuna mtindo wa kutetea kauli hii..!! Yule ni mjinga mmoja tu anayedhani hela ndo mumewe..!!
 
Back
Top Bottom