Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Siku hizi wanajiita Super woman, ukiongea nao kwa dakika 5 kama huna uvumilivu unaweza tandika makofi.
Nawachukja sna Hilo neno waliopachikwaa wamevimba bichwaa

Kwa Kweli sitakagi mzaaa wa kumshapu mwanamke na kumuona shujaaa na hicho kilinifanya kufaulu secondary kwani nilikiwa sitaki kusikia mwanamke ananikimbiza kimasomo silali usku kuhakiksha nameza vitus

Ni kheri mwanaume anikimbize kwa masomo Ila siyo mwanamke
 

[emoji28] Umeongea kwa masikitiko sana mkuu pole
 
Wengi wao wanawezeshwa baadaye MABICHWA YAO yanakuwa makubwa na vituko vingi kama CHAUSIKU..
DAWA yao ndogo. Mwanaume fungasha viroga SLIDE. Miezi 6 tu mingi ona atavyoanza mishe za kukurudisha!
 
Huwezi kuwa serve two masters at the same time. Huwezi kupanda farasi wawili kwa wakati mmoja, utaishia kupiga msamba. Kua na uhuru wa kipato na ku heshimu waume zao? That's a lot on your plate (problems) you're asking for! You must pick one!
Rais Samia hamweshimu mumewe??
 
Kudadadeki
 
Shemela Evelyn Salt, Bantu Lady, Mideko, lovely love, Kapeace, binti kiziwi, Dejane, Kalpana, Lanlady, Lovelovie, Numbisa, Mamndenyi etc embu elezeni kama huyu mama yupo sawa au la..!!
Mama kakosea sana..ila mwanaume alikosea zaidi kama alioa uyo mama akiwa na pesa zake,,
Wanawake wengi wanaamini heshima ya mwanaume ni kwa sababu ndio huwa wanalea familia yaan pesa anayoacha kila siku mwanaume na kulipa bils ndio inampa heshima ndani ya nyumba
Sasa habari ya kuoa mwamamke mwenye pesa zake na ukategemea akuchukulie kwa heshma zote akunyenyekee kama mume aisee utasubiri sana mana wengi wanawake wakishashika pesa wanajiona ni wanaume pia na wanataka kua na uhuru pia.
Kama ambavyo mwanaume anaweza kutoka muda wowote akaaga au asiage basi na mwanamke akishakua na peaa zake ni ngoma droo nayeye kuna muda atataka atoke na marafiki zake na hutamkataza mana ana financial freedom.
Kwa usalama wenu wanaume irudieni asili na muache kutaka kusaidiwa kuleta pesa nyumban japo sio wote ila wengi wenu mnahangaika kutafuta independent woman ambao wanasababisha mnakufa mapema sana
Hata kama wewe ni bodaboda hakikisha mwanamke wako hakuzidi kipato au hana kazi kabisaaaa.
Baizewei mi nnajishughulisha kutafuta pesa ila najua heshma kwa mwanaume.
 
Wacha mwanamke akasake pesa mie naona ni uwoga tuu wa kutombewa mke ndio kinachowakwaza wanaume wengi. Wacha mke atoke tuu kwa raha zake cha msingi mbususu anakupa.
Akikunyima mbususu hapo sasa ndio unamfukuzia mbali.
Tusiwe tunamaindi vitu vidogo kama mke kutoka kwa pesa zake mwenye sijui kuonja de libolo tofauti once in a while, ladha lazima mwanamke abadilishe plus kuna raha gani kutomber mwanamke ambae wanaume wengine hawamtamani?
 
Hongera Dada kwa hekima hii.
 
kikristo wengi wanadharau,wanajua mme hawezi ongenza mke mwingine
Kweli hii hata mimi naamini ndoa nyingi za kikristo wanaume wengi ndo wanalea watoto sio wao, maana hata mkewe anakuwa na jeuri kuwa ndoa ni mara moja hata akiniacha kuoa mwingine hawezi.
MUNGU ATUSAMEHE TUU
 
Huhitaji TBS wakufanyie tafiti ili waje na vipimo vyenye majibu ya utabiri wa kitabia kuwa mkeo atakuwaje akianza kushika pesa na kujihusisha na biashara.

Mwanamke akiwa katika mfumo wa utafutaji wa fedha automatically ataanza kuwa mtu wa kutumia masaa mengi nje ya nyumba kuliko kuwapo ndani hivyo ratiba za ndani ya nyumba zitamshinda.

Huko nje lazima atakuwa na mazoea na watu na kuwa na mahusiano mapya aidha ya kirafiki au mahusiano ya kingono na hao watu wa nje hiyo ni possibility kubwa kama atakuwa anatoka asubuhi anarejea jioni. Kumbuka yeye ni binadamu kama wewe akiwa mbali na wewe na mbali na nyumbani atakuwa anacheza na akili ya mazingira yale anaposhinda so atahitaji marafiki, watu wa kushirikiana nae muda wote na muhimu zaidi mtu wa kumpa mapenzi.

So hapa tunachoongelea ni mazingira gani ambayo mwanamke ambaye ni mke wa mtu anafaa kuwapo na still kuweza kumudu majukumu ya ndoa yake.

Kama na wewe utakuwa nae eneo anaposhinda itakuwa sawa. Yaani kama vile wahindi unavyowaona wanakuwa na wake zao eneo la kazi so inasaidia kuwa pamoja muda wote, wakitoka wapo pamoja wakirudi wako pamoja.

Hiyo ni katika kupunguza mazingira ya kuwa na mwanaume mwingine. Ila eneo la familia ni ngumu sana mwanamke ambaye anajishughulisha na maswala ya kifamilia kuwa serious na malezi ya watoto na kulea familia

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ati huyu naye ni Mke
 
Kenge kabisa huyu hawa waendelee tu kututegemea wana viburi sana wakianza kuvishika vihela
 
Hiyo ndio feminism katika ubora wake. Unamuacha, unatafuta mwingine bomba unaongeza bidii ya kutafuta mapeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…