Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Wanawake wapumbavu ndo huamini wakishakuwa na pesa au madaraka ndio key ya kuitawala nyumba na mume.
Wakishaanza kulala na kuamka peke yao ndio huanza kuwachukia wenzao walioko kwenye ndoa na wanaopendwa kwa kuwaona ni kama wanaringa.
Hahahahahah wanateseka sana wakishaharibu na kuwa single na kuanza kupandikiza chuki kwa wanawake wenzao ili nao waharibikiwe. Ilo ndio lengo kuu la kikao kujimwambafy ila mwisho wa siku kuwa mume ndio ukamilifu wa taasisi ya familia. Shilole pamoja na uchizi wake ila sasa katuliza mawenge.
 
Na mbaya zaidi wanaume walioachana na wanawake aina hii hutoboa kimaisha maana wakishawaacha hawa magume huwa na hasira na kuisaka pesa tuu na hapo sasa aliyeharibu huanza kutaka kujirudisha kwa kasi.

Wajinga sana wakishakaa kwenye makundi yao huko. Pumba tupo wanashauriana na kuigana maana wote ni vipofu.
Na ndo maana wengi wanaliwa hovyo kwa tamaa ya pesa ili akawavimbie wenzie kwenye vikoba na vyama.
 
Humo lengo ni kujimwambafy so wengine hata kwa umalaya wanafosi mradi watimize malengo tu
 
Na mbaya zaidi wanaume walioachana na wanawake aina hii hutoboa kimaisha maana wakishawaacha hawa magume huwa na hasira na kuisaka pesa tuu na hapo sasa aliyeharibu huanza kutaka kujirudisha kwa kasi.

Wajinga sana wakishakaa kwenye makundi yao huko. Pumba tupo wanashauriana na kuigana maana wote ni vipofu.
Na ndo maana wengi wanaliwa hovyo kwa tamaa ya pesa ili akawavimbie wenzie kwenye vikoba na vyama.
Eeh wanaharibugi sana focus zetu. Mwanamke mkorofi anakula sana akili ya mwanaume. Unashindwa kuwazia mambo ya maana unaishia kufeli tu. Ila ukimchinja tu akili inakuwa free yani unawaza mambo kwa upana lazma utoboe tu.
 
Mimi najitegemea in fact, lakini hakuna maisha mazuri kama mke na mume kuwa marafiki, mume kumhudumia mke, na mke kumheshimu mume, naenjoy mume wangu akiniwekea vocha nikienda saluni lazima atauliza unataka sh ngapi kama nywele ni elfu 20 na ninajua siku hiyo hana kitu ntamwambia nahitaji 10 ingine nilimuachiaga dada wa saluni chenj yangu, au nyingine ntaongezea utanilipa.

Mwanamke unaesoma hapa elewa hata upate vipi hela please usimnyang'anye mwanaume uanaume wake,(manhood) aidha kwa maneno au matendo yako au kwa kujigamba , maintain his man hood please.

Huyo Mercy Mchechu alieongea hivyo amewapa sababu wanawake wandagaji kumtafuta mumewe.

Tuna maisha ya kawaida lakini mgeni akija kwangu kwa anachokikuta lazima atajifunza kitu, utashangaa sasa limama lizima likija linaniita pembeni eti unanyenyekeaje mwanaume atakuja kukusaliti, wanadam wote wanasaliti, ishi ndoa yako Leo sasa hivi, kwamba ulisalitiwa ilishapita utasalitiwa haijatokea bado, kwa hiyo tunaweza kusema mengi kutaka umaarufu lakini UKWELI upo pale pale, Mwanamke anaeaga ana nafasi kubwa ya kuaminimka kuliko asiyeaga, anayepewa hela kulingana na kipato cha mumewe anapendwa zaidi kuliko asiyepewa.
Hahah mwanamke anayejitambua ni mtamu sana.
 
Ni Kweli wanawake wanaoshi Single wanapenda sana Kuona ndoa zinavunjika Kwa wingi sana Ili wapate MAHALI pa kudanga na kupata huduma ya kupigwa shoo. Kwa Maana kwamba pakiwa na Ndoa zilizotulia na vijana wakioa na Kutulia na wake zao ni Wazo wawake wenye KAZI zao na pesa zao wangewehuka mana wangekuwa hawapati huduma ya ngono kirahisi . Kwa Sasa wanawake wengi wanajeuri mana wanajua kwamba wamevuruga ndoa nyingi sana na wanawatumia vijana wasio na Ajira kingono na watu maarufu Ili kujipa uhakika Wa kuendeleza jeuri Yao.

Huyo mdada ni Mjinga. Ndoa ni taasisi kwenye jamii ambayo Ina watoto wanaohitaji malezi ya baba na mama . Sasa ukiona MTU anachochea kuvuruga taasisi huyo MTU ni Wa kumwogopa sana . Angekua na biashara nadhani Hata wanaume na wanawake wenye Ndoa zao wanatakiwa kususia biashara yake.

MTU kama huyo Hata ukimwajiri ni shida sana . Wengi wanaajiriwa na mahawara wao au wanatembea na mabosi au wamiliki Wa kampuni. Hii ni Ili wawe na jeuri mpaka KAZINI. Mfanyakazi mtiifu Kwa Bosi wake hua Hata mumewe anamtii lakini Mwanamke akishaanza Kutembea na mabosi wakubwa Kama Wakurugenzi,mawaziri n.k. anakua jeuri mpaka Ofisini anaweza akaondoka tu na kuwaacha wateja au Hata kujibu Kwa nyodo mana anajua hawezi kufukuzwa KAZI .

Hivyo huyo dada ni Mfano Wa wanawake wapumbavu wasio na busara wanaowaza ubosi tuu. Bila kujau kuwa Bado ana safari ndefu ya maisha. Na asitegemee kuwa ikatokea anapata tatizo la,kensa ya kizazi (ambayo huko tuendako itakua kubwa sana kutokana na wanawake kubadili wanaume Wa aina Tofauti Tofauti kama fasheni na wengine kuhiingizia mpaka midoli kwenye Uke) au tatizo la Figo kuna MTU Wa vikoba na vikao vya harakati atamsaidia zaidi ya Mume wake na Wazazi wake kama wapo.
Ndoa kama Taasisi inahitaji kuwa na Kiongozi anaseheshimika na kuwa dirá na kichwa Cha taasisi hiyo.

Tukiwa na taifa lisilo na watu wenye Ndoa imara basi Hata uadilifu utapungua sana . Ndio Maana Leo watu wanaiba mabilion ya pesa kwenda kula Bata na mahawara zao. Watu wanapeana Ajira Kwa rushwa za ngono. Digrii zinatolewa Kwa rushwa ya ngono mana hakuna anayeheshimu mahusiano zaidi ya kukidhi matamanio yake ya kingono.
Nchi imevamiwa na Pepo wabaya sana . Hata upagani Ulikua na miiko kwenye suala la mahusiano ndio MAANA watu waliweza kutambika na mvua zikanyesha mana Mungu yupo sirias sana kwenye suala la mahusiano hasa wanawake kutii na kutunza familia . Mungu anawajali sana wanawake watiifu na waaminifu mana Mwanamke ndio Kiwanda cha uumbaji Wa Mungu. Sasa Kiwanda kikiwa kibovu basi kimakua hakina thamani na faida Kwa mmiliki .
Fainali uzeeni, imagine anaachwa akiwa on late forties. Anaolewa mwenzio mtoto mbichi wa mid 20's. Lazma amalize waganga 🤣🤣🤣
 
Wazee wetu waliweza vipi kuishi na wake zao mpaka wanaagana duniani?
Yaani wakipendana hakuna chochote zaidi ya mapenzi.
Mzee akitoka huko kwa mchepuko atakuta menu mezani atazuga hapo vijiko viwili kashiba.
Huku sisi wanae tumekula mbawa na shingo za kuku.
Mi nilikua nasubiri tu aseme kashiba nachukua sinia namaliza kila kitu.
Kuna kipindi yule mdingi nikawa nawaza huyu anarudi na michanga mfukoni nini?
Maana tonge mbili anaanza kulalama chakula kina michanga sili🙈 wanaenda kuelewana na mkewe huko mi naondoka na sinia lake gheto nalichapa.
Aisee nilielewa bond badae.
Siku mzee amekufa huyu mama alikua anazimia na kuamka anauliza mume wangu yuko wapi?tunamwonyesha jeneza anazimika tena🥲
Mpk tunazika hajui,hajiwezi, haamini
kalia miaka 15.
Yale ndo yalikua mapenzi.
Sijui siku hizi hawa wanawake mnawatoa wapi wanawaendesha hivi.
 
Mwanamke mjinga akipewa nafasi ndio mambo yanakuwaga kama hivyo. Atanyanyasa watu na kutamba kama vile haendi chooni. Turning everybody into a doormat.
 
Wazee wetu waliweza vipi kuishi na wake zao mpaka wanaagana duniani?
Yaani wakipendana hakuna chochote zaidi ya mapenzi.
Mzee akitoka huko kwa mchepuko atakuta menu mezani atazuga hapo vijiko viwili kashiba.
Huku sisi wanae tumekula mbawa na shingo za kuku.
Mi nilikua nasubiri tu aseme kashiba nachukua sinia namaliza kila kitu.
Kuna kipindi yule mdingi nikawa nawaza huyu anarudi na michanga mfukoni nini?
Maana tonge mbili anaanza kulalama chakula kina michanga sili🙈 wanaenda kuelewana na mkewe huko mi naondoka na sinia lake gheto nalichapa.
Aisee nilielewa bond badae.
Siku mzee amekufa huyu mama alikua anazimia na kuamka anauliza mume wangu yuko wapi?tunamwonyesha jeneza anazimika tena🥲
Mpk tunazika hajui,hajiwezi, haamini
kalia miaka 15.
Yale ndo yalikua mapenzi.
Sijui siku hizi hawa wanawake mnawatoa wapi wanawaendesha hivi.
Mzee alikuwa baharia huyo anazuga na chumvi kumbe anaenda kula mzigo 🤣🤣🤣!!! Kijana unachekelea paja za kuku na kidali mama yako anaenda kuinjoy ndani 😀 wazee mabaharia wanapendwa sana. Sema sahizi hamna matoleo kama yale tumebakia mabaharia wachache sana.
 
Bora huyu haangwi, aisee wanaume wanateseka sana sema tu hawana pa kusemea hasa wale wasio na kipato ndani ya familia - huo unyumba tu unapewa mara moja kwa wiki tena kwa masharti usiweke ufundi.
NDoa nyingi zina changamoto kubwa mno
 
Back
Top Bottom