Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Yaani mimi binafsi,ninasomesha wanangu,shule za watoto ninatafuta mwenyewe,ninalipa bill zote nk.Yaani Sometimes huwa ninajiambia mimi ni mwanaume kasoro viungo vya jinsia tu.🤣🤣🤣🤣 Aisee eti kusaidiana katika majukumu🤣🤣🤣 kwenye marimba ya mdhungu mnachaoa kirahisi tuu njoo sasa kwenye reality ..utaingia mkenge.
Kuweni wakweli nyie wanawake katika kusaidia majukumu ni zero kabisa.